CHADEMA yamnasa Waziri Mulugo kwa rushwa


R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Likes
1,262
Points
280
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 1,262 280
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemfikisha Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillip Mulugo, mbele ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kutoa rushwa ya ahadi ya mifuko ya saruji na fedha taslimu 40,000 kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi.

Chama hicho pia kimemfungulia faili la tuhuma za ubakaji mgombea udiwani wa Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mdogo wa kata ya Mbalamaziwa, Zuberi Nyomolela, kwa kosa kuishi kinyumba na binti mwanafunzi.

Hayo yamesemwa jana katika kijiji cha Mbalamaziwa na mwanasheria wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Sinkara Lucas, kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mbalamaziwa, uliohudhuriwa na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe.

"Ndugu zangu wakati wa kampeni hasa za nyumba kwa nyumba tulikuwa tunakutana na maneno maneno hivi yanazungumzwa kuhusu mgombea wa CCM, maneno mazito sana, sasa kama kawaida ya CHADEMA kama mnavyojua huwa hatukurupuki, tunafanyia kwanza vitu utafiti kabla hatujatoka hadharani kutuhumu; tunakuwa na ushahidi wa kutosha.

"Wananchi wa Mbalamaziwa ninyi ni mashahidi; majuzi alipita hapa Phillip Mulugo akatoa rushwa ya ahadi ya mifuko 20 ya saruji na fedha taslimu 40,000 eti kwa vijana wakanunue mipira lakini wamchague Zuberi...amefanya yote hayo hadharani hapa jukwaani, kinyume cha sheria za uchaguzi na sheria za nchi. Sasa tunao ushahidi na tumeupeleka TAKUKURU na hivi sasa wanalifanyia kazi faili hilo. Wakati wowote atakamatwa.

"Atakamatwa na faili linashughulikiwa. Wananchi wenzangu hiyo ndiyo CCM inayolea rushwa na ufisadi na huyo Zuberi naye itakula kwake...hajapata udiwani anafanya hivyo sasa akipata itakuwaje...?" alisema Lucas.

Akihutubia mkutano huo wa kampeni kumnadi mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CHADEMA, Ezekia Ambangile Mlyuka, Mwenyekiti wa Taifa, Mbowe alisema vitendo vyovyote vya makosa ya jinai havistahili kuvumiliwa hivyo chama chake hakitakubali kuona vinafanyika, ikiwemo rushwa kwenye uchaguzi.

Mkutano huo uliohudhuriwa pia na wabunge Peter Msigwa, David Silinde, Mbowe mbali ya kuwapa pole kwa kufiwa na diwani aliyekuwepo, aliwaambia wananchi kuwa wasirudie makosa kwa kuichagua CCM, akisema kuwa imekuwa sababu na chanzo cha umaskini wa Watanzania.

Akitolea mifano namna kata hiyo ilivyo nyuma katika maendeleo kwa kukosa huduma za msingi za kijamii kama kukosa kituo cha afya, na zahanati kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru. Mbowe alisema ni wakati mwafaka wa kuanza kubadilisha uongozi.

Akijibu tuhuma hizo, Mulogo alikiri kutoa rushwa hiyo ya ahadi kwa sababu hakujua kama mkutano wa kampeni ulishafunguliwa.

"Mimi nilikuwa napita kwenda Mbeya, sikujua kama mkutano wa kampeni ulishafunguliwa ila niliwakuta watu wakiwa wamekusanyika na nikakumbuka kwamba niko katika kata ya mheshimiwa Menrad ambaye alishawahi kuniomba msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya shule moja hivi katika kata yake. Niliahidi hivyo na nikasema nitatoa mifuko hiyo," alisema Mulugo.

Alipobanwa kwamba haoni kufanya hivyo ni kuvunja sheria, Mulugo alisisitiza kwamba hakujua kama mkutano wa kampeni ulishaanza.
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, viongozi wa serikali hawaruhusiwi kutoa msaada wala ahadi wakati wa mikutano ya kampeni kwani kufanya hivyo ni rushwa
 
NGANU

NGANU

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,914
Likes
29
Points
145
Age
32
NGANU

NGANU

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,914 29 145
CDM endeleeni kuisadia TAKUKURU kudhibiti rushwa nchini.
 
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,773
Likes
33
Points
135
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,773 33 135
Chadema mara wanasema hawana imani na TAKUKURU.
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Chadema maji ya shingo
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Dalili za kuzidiwa kwa hoja
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
kwani chadema ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa?
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,359
Likes
9,997
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,359 9,997 280
Chadema mara wanasema hawana imani na TAKUKURU.
Chezea CDM wewe! Hapo tutapata ushahidi mwingine kwa wananchi TAKUKURU wakishindwa kuchukua hatua wazi!
Yote mitego,wakichukua hatua ni kashfa na wasipochukua hatua kashfa zinakuwa mbili!!
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,420
Likes
1,723
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,420 1,723 280
Ignorance of the law is not defence! 'ignorantia juris non excusant'
 
Asante

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Messages
2,038
Likes
453
Points
180
Asante

Asante

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2009
2,038 453 180
Inashangaza sana, kiongozi na waziri anatoa utetezi wa kitoto namna hii, kuwa hakujuwa kampeni za uchaguzi zimeanza.
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
433
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 433 180
Alipobanwa kwamba haoni kufanya hivyo ni kuvunja sheria, Mulugo alisisitiza kwamba hakujua kama mkutano wa kampeni ulishaanza.
Tobaa,
Huyu ni naibu waziri?!!!!
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
kwani kunachama ambacho kinaongoza kwa rushwa kama chadema jamaa wanahonga kila mahala lakini wataipata tu mwaka huu na mda bado upo sana.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,698
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,698 280
Sijaona rushwa hapa zaidi ya zawadi kwa vijana.
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
Chezea CDM wewe! Hapo tutapata ushahidi mwingine kwa wananchi TAKUKURU wakishindwa kuchukua hatua wazi!
Yote mitego,wakichukua hatua ni kashfa na wasipochukua hatua kashfa zinakuwa mbili!!
mtu mwenyewe aliyeongoza mkutano wa chadema mnamjua kwa hiyo msitegemee jipya nadhani kila mtu anamfahamu mbowe na suara zima la uelewa kwa hiyo vurugu kama hizi hazikwepeki na chadema ikizidiwa mtarajie mengi ya uongo na uzushi.
 
Mama Mdogo

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Messages
2,900
Likes
504
Points
280
Mama Mdogo

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2007
2,900 504 280
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemfikisha Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillip Mulugo, mbele ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kutoa rushwa ya ahadi ya mifuko ya saruji na fedha taslimu 40,000 kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi. ......................................... Akijibu tuhuma hizo, Mulogo alikiri kutoa rushwa hiyo ya ahadi kwa sababu hakujua kama mkutano wa kampeni ulishafunguliwa. "Mimi nilikuwa napita kwenda Mbeya, sikujua kama mkutano wa kampeni ulishafunguliwa ila niliwakuta watu wakiwa wamekusanyika na nikakumbuka kwamba niko katika kata ya mheshimiwa Menrad ambaye alishawahi kuniomba msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya shule moja hivi katika kata yake. Niliahidi hivyo na nikasema nitatoa mifuko hiyo," alisema Mulugo. Alipobanwa kwamba haoni kufanya hivyo ni kuvunja sheria, Mulugo alisisitiza kwamba hakujua kama mkutano wa kampeni ulishaanza. Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, viongozi wa serikali hawaruhusiwi kutoa msaada wala ahadi wakati wa mikutano ya kampeni kwani kufanya hivyo ni rushwa

Kwa level yake, huyu Mheshimiwa haiwezekani kabisa ati awe hakuwa na taarifa. Utaratibu wa ki-protokali ni kuwa kabla ya kuhutubia lazima awasiliane na uongozi wa kitongoji, kijiji, kata, tarafa au wilaya. Sasa huyu muheshimiwa anakuta mkusanyiko wa watu na hapo hapo anapanda jukwaani na kuanza kuhutubia. Kama ndiyo kweli alichofanya basi hajui protokali, na kuna siku atakuta watu wanavunja sheria na yeye atajiunga nao na hii ni hatari.
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,042
Likes
2,592
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,042 2,592 280
Kuna wakati aliwahi kuulizwa unazungumziaje mtihani wa form six unaoendelea,akasema hajui hata kama ulishaanza na yeye ni naibu waziri wa elimu...hapa tena hajui kama kampeni imeanza.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
234
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 234 160
Kuna wakati aliwahi kuulizwa unazungumziaje mtihani wa form six unaoendelea,akasema hajui hata kama ulishaanza na yeye ni naibu waziri wa elimu...hapa tena hajui kama kampeni imeanza.
Alipohojiwa kuhusu elimu yake alisema "Nilipomaliza form six sikwenda chuo dairekti moja kwa moja"
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,042
Likes
2,592
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,042 2,592 280
Alipohojiwa kuhusu elimu yake alisema "Nilipomaliza form six sikwenda chuo dairekti moja kwa moja"
Kili kitu hajui sasa alipandaje jukwaani kama hajui ni mda wa kampeni
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
Waziri Hopeless kabisa huyu.
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,935