Matukio mawili yafuatayo ya hivi karibuni yanaiabisha sana serikali ya CCM, kwani yanaonyesha bila shaka yoyote udhaifu wa serikali ya CCM -- na kudhihirisha Watz kwamba kweli serikali hii ni...
Katika hotuba hiyo amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na waondokane na hofu yoyote kwa vile usalama umeimarishwa vya kutosha.
Nape amewaomba wananchi wazitumie vizuri haki...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kesho anatarajiwa kufunga kampeni za Udiwani katika kata Mbalimbali za Mkoani Manyara na Arusha kwa kutumia helicopter.
Mbowe anatatajiwa kuhutubia mikutano...
At the end of May 2013, the Tanzanian parliament was told that Tanzania would acquire six passenger ships, which would be deployed on Lakes Malawi (Lake Nyasa as it is known in Tanzania)...
wakuu wa Jf. Tupo kwenye mkutano Wa hadhara Kata ya Mianzini Mtaa Wa machinjioni Shuleni. Kutokana na kauli ya jana na leo ya kamanda Kilewo Katibu wa Chadema Kanda ya Dsm juu ya Uleberali...
Obamas ill-advised visit to Tanzania
By Dana Milbank,June 09, 2013
When President Obama goes to Africa at months end, the first African American president will have a rare opportunity to spread...
kATIKA KILE KINACHO ITWA MOVEMENT FOR CHANGE, KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same magharibi kwa mikutano anayoendelea kuifanya jimboni, Hali hii imesababisha...
Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari tangu jana juu ya vitu viwili ambavyo vyote vinamhusu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Ndugu Wilfred...
Miaka michache ijayo tutashuhudia CCM ikiungana na vyama vikongwe duniani kuingia katika vitabu vya HISTORIA, vya kiada na ziada, vya kufundishia shule za msingi na sekondari na vyuo...
Lala salama ya uchaguzi mdogo wa kata, Mbowe kufunga kazi kwa Lowassa kwa helkopta. Baada ya kuzungukia kata mbalimbali kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya Mbeya, Iringa...
Kumekuwa na maoni tofauti toka kwa watu na taasisi mbali mbali ya kumpongeza na kupinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Sintakwenda kwa undani sana lakini nitajikita...
Nikiwa mwanachama wa CCM na mfuatiliaji duru la kisiasa kwa miaka mingi sana. Kwa katibu mkuu wa CCM kutokwenda kuokoa jahazi la CCM Arusha imenistajabisha sana. Imenifanya niwakumbuke makatibu...
Ni takribani mwaka mmoja sasa na zaidi tangu Serikali kupitia manispaa ya ILALA ilivyotangaza kuuza viwanja maeneo ya Kinyerezi jijini Dar es salaam na kukusanya mabilioni ya shilingi kutoka kwa...
Mambo mengine yakitokea huibua hisia za kusononesha miongoni mwa jamii badala ya kufurahisha kutokana na taathira yake kwa jamii. Hivi wenzetu wanaposema wananunua laptop 1,300,000 kwa mwaka huu...
Tume ya katiba imenichanganya, imenishangaza na imeniacha hoi..Nani alitoa maoni ya serikali TATU?? je ni asilimia ngapi?? Wananchi wangapi wa kawaida wanaujua muundo huo.?? Kama katika muundo huu...
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA Mhe. Freaaman Mbowe atawahutubia wakazi wa kata ya Genge na Tengeni wilayani Muheza katika mwendelezo wa kampeni za uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika...
Inauma na kutia simanzi kuona taifa kama Tanzania linazidiwa nguvu ya uchumi na nchi kama Rwanda na Kenya licha ya kuwa na rasilimali lukuki ukilinganisha na nchi hizo. Kenya wanaingiza mapato...