Katiba mpya itaondoa haya yote yanayosababishwa na CCM na viongozi wake


Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Likes
57
Points
145
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 57 145
kwa mtizamo wangu naona kama haya yote yaliyotokea jana ufumbuzi wake ni kuwa na katiba mpya itakayo tupatia tume huru ya uchaguzi.
Itakayo tupatia jeshi imara la polisi
Itakayo tupatia viongozi imara na watakao tokana na matakwa ya wananchi
Jaji waryoba najua ccm wamekupinga sana na kukusema sana mpaka na wassira nilimsikia akisema mzee nyerere amekulea na ulikuwa unafahamu kabisa ambayo alikuwa ataki ila umeamua kuyaleta kwenye katiba mpya...ila tuna amini mzee wetu umekwenda na wakati na umesoma alama za nyakati tupatie kile kitu wananchi wanataka.
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416