SERIKALI: Mill 100 kwa Atakayetoa taarifa za kufanikisha kukamatwa aliyerusha bomu juzi Arusha

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Serikali imesema kwa atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa aliyetupa bomu ktk mkutano wa kampeni ya udiwani (CDM) akatabidhiwa kitita cha sh. mill 100.
 
Hizo Mil 100 wampe gaidi Mwigulu atawapeleka mpaka anapoishi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
We ndio utampa au? Funguka zaid

ulipokuwa unasoma uzi wangu haujaona neno "serikali" mkuu wangu?
hiyo taarifa inapita kwenye screen (tbs) sasa kwenye kipindi cha Bunge. Serikali imezitenga hizo fedha kwa yeyote akatayetoa taarifa za kufanikisha kukamatwa kwa huyo mrusha bomu.
 
Hivi mkuu, una uhakika serikali na polisi haiwajui hao watu?
 
Back
Top Bottom