Habari wana JF,
Wengi natumaini mnakumbuka kauli ya Kardinali Polycarp Pengo punde tuu baada ya Mlipuko kanisani Olasiti. Pengo alisema anataarifa zisizo na shaka kutoka vyanzo anavyoviamini kuwa tukio la Olasiti SI TUKIO LA KIDINI.
Wengi tulishangaa na pengine kauli ile kupita masikioni mwetu bila kutafakari.
Leo hii limetokea tena tukio kama la Olasiti (kanisani), safari hii kwenye mkutano wa chadema. Kama ni mtu wa kuunganisha dots, natumaini utaanza kuelewa kauli ya Pengo.
Kwa weledi wangu wa kuelewa na taarifa nilizonazo zisizo na mashaka ni kuwa matukio yote mawili yamefanywa KISIASA.
Nitaanza na tukio la kanisani (Olasiti).....Serikali iliamua kufanya tukio hilo ili kusawazisha chuki kati wa wakristu na serikali hasa baada ya matukio mengi ya kuuwawa mapadre na uchomaji wa makanisa lengo likiwa "wanaofanya ugaidi kwenye makanisa si "waislamu tuu". Na ndio maana Pengo amesisitiza sana UKWELI uwekwe wazi...
Tukio la Chadema.....serikali (CCM).....imeamua kutenda hayo ili kuvuruga uchaguzi na kuwaonyesha wananchi CDM ni chama cha vurugu.
Hivi ni vitendo vya kijinga sana vinavyoendelea ndani ya nchi yetu. Kumbuka Ulimboka, Mwakyembe , Mwangosi , Kibanda na mengine Mengi. Ni jukumu la kila Mtanzania kujitambua, wapi tulipo, wapi tunakwenda na ni nini cha kufanya.