MACHALI: CCM na CHADEMA vifutwe

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,818
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".

My take;

Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
 
Wewe unataka kunileta ban hapa kwa sabu ntakunyea sasa hivi. Wa kufutwa ni mmoja tu, na ni huyu mhaini hapa.

Mwigulu alikuwa Arusha kwa Kazi Maalum ya Serikali ya Watu wa China. Hiyo Kofia aliyoivaa Mkoani Mbeya na Arusha ni Kofia ya Jeshi la China linaloitwa The Chinese Red Army.

Yuko kwenye kazi Maalum ya Jeshi la China. Mwigulu ndo huyu hapa:

View attachment 97862

Waliomtuma hawa hapa:

View attachment 97865
View attachment 97864
View attachment 97863View attachment 97866

Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
 
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".

I stand to correct him, hivi Machali ajajua bado kuwa CCM ndo wahusika wakubwa wa mlipuko wa Arusha mbona CHADEMA katika uchaguzi huu mdogo hakuna walikotuhumiwa kujeruhi watu ? lakini ccm kila kona wamekamatwa wakifanya hivyo, na Mwigulu Nchema is the first suspect katika vifo vya hawa Watanzania wasiokuwa na hatia
 
chadema inahusika sana na matukio mengi maovu ya nchi hii. leo hii ningekuwa IGP, haya yote ningeyaumbua haraka sana na ningeyashughulikia
 
Serikali ya ccm inajua kila kitu hata jana tulikutana na baathi ya police ar wanasema hii gemu ni yao na ninakuhakikishia hiyo tume haitafanya chochote,ukweli wanao wao
 
I stand to correct him, hivi Machali ajajua bado kuwa CCM ndo wahusika wakubwa wa mlipuko wa Arusha mbona CHADEMA katika uchaguzi huu mdogo hakuna walikotuhumiwa kujeruhi watu ? lakini ccm kila kona wamekamatwa wakifanya hivyo, na Mwigulu Nchema is the first suspect katika vifo vya hawa Watanzania wasiokuwa na hatia

Lwakatare je?
 
yeeeeees leo nimefurahi sana. Kweli kabisaaaa hivi vyama vifutwe. Lakini Machali ukiendelea kusema hivo hawa jamaa watakutimua
 
Ndiyo tatizo la wabunge wa Tanzania, robo tatu yao hujadili hoja kwa mihemko na kufifisha bongo zao. Just kwa kuwa CHADEMA na CCM vina mivutano basi vifutwe? Huku si kutaka kututengenezea kina Kony? Maana watu wakikosa forums huru za kisiasa si kuwapeleka msituni? Halafu mbona anakuja na conclusive statement ya jinsi hii? Nani kamwambia tukio zima source ni uhasama wa CCM na CHADEMA?

Kwa kuongozwa na mihemko ya jinsi hii mbunge kama huyu atatuambia tukio kama lile la mlipuko kanisani basi dini za ukristo na uislam zipigwe marufuku ndani ya Jamhuri. Rabish!!!!
 
Mtu mjinga anaweza kuropoka jambo lolote na watu tutakupuuza tu.
Sijajua Moses Machali amesema hayo akisimamia Facts zipi?

Mkutano ulikuwa wa CHADEMA na bomu limelipuliwa na risasi zilipigwa kuwalenga viongozi na wafuasi wa Chadema, waliokufa ni kiongozi na wafuasi wa CHADEMA, watu wote waliojeruhiwa walikuwa ni viongozi na wafuasi wa CHADEMA. Sasa mtu anakuja kuropoka eti huenda wahusika wa tukio hilo ni CHADEMA!!!

Uwendawazimu sio lazima uokote makopo, hata kuropoka uchafu ni uendawazimu tu.
 
Machali anataka kutuaminisha kua, Shehe au Askofu Aingize ibada halafu mjilipue wenyewe?
hurl.gif
 
CCM ni wazi watafurahi iwapo CHADEMA kitafutwa. Lakini kwa tukio la Bomu utasema makanisa yafutwe? Ni mwenye mawazo finyu tu anaweza kutoa hoja ya kufutwa CCM na Chadema kuwa ni suluhisho la yanayotokea Tanzania.
 
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".

My take;

Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.

We pimbi nenda ukaombe kazi ya kusafisha makalio ya wakazi wa MAGOGONI!! Huna jipya!!
 
Back
Top Bottom