Bomu litakapolipuka kwenye mkutano wa CCM!!!


fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,727
Likes
1,650
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,727 1,650 280
Najiuliza watanzania tunaelekea wapi na siasa hizi hadi kufiki hatua ya kurusha mabomu katika umati wa watu. Nia kubwa ni nini hasa?
Watu wamefariki na wengi kujeruhiwa kwa tukio nadra sana kutokea katika ardhi ya Tanzania kama hili la mjini Arusha mbaya zaidi kuhusika moja kwa moja na siasa. Je siku litakapolipuka bomu kwenye mkutano wa CCM reaction yake kwa serikali itakuwaje?
Watu wamefariki, Bunge linaendelea (This is very sad). Tukio lamtwara bunge liliahirishwa; Au kwa sababu liligusa maslahi ya wakubwa nchini? Tukio la Olasiti viongozi wakubwa wa serikali walitembelea eneo husika na kuwapa pole wahanga Mt. Meru hospitali. Kwanini hawa waliokutwa na tukio hili nao wasipewe relief, au ni kwasababu ni wanachama wa CHADEMA?
Tufikie kipindi siasa tuweke pembeni na tujari maisha ya watanzania wenzetu. Kumbuka matukio yahusishayo mabomu watanzania hawajayazoea. Tusizoeshane ili siku za mbele tuyaone ni kawaida.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Najiuliza watanzania tunaelekea wapi na siasa hizi hadi kufiki hatua ya kurusha mabomu katika umati wa watu. Nia kubwa ni nini hasa?
Watu wamefariki na wengi kujeruhiwa kwa tukio nadra sana kutokea katika ardhi ya Tanzania kama hili la mjini Arusha mbaya zaidi kuhusika moja kwa moja na siasa. Je siku litakapolipuka bomu kwenye mkutano wa CCM reaction yake kwa serikali itakuwaje?
Watu wamefariki, Bunge linaendelea (This is very sad). Tukio lamtwara bunge liliahirishwa; Au kwa sababu liligusa maslahi ya wakubwa nchini? Tukio la Olasiti viongozi wakubwa wa serikali walitembelea eneo husika na kuwapa pole wahanga Mt. Meru hospitali. Kwanini hawa waliokutwa na tukio hili nao wasipewe relief, au ni kwasababu ni wanachama wa CHADEMA?
Tufikie kipindi siasa tuweke pembeni na tujari maisha ya watanzania wenzetu. Kumbuka matukio yahusishayo mabomu watanzania hawajayazoea. Tusizoeshane ili siku za mbele tuyaone ni kawaida.
Mahali tulikofikia sasa nadhani tuwaombe wana maombi wasaidie ili Mungu atusaidie kuwaondoa hawa watawala wasio jali maisha ya watu wake. Tuombe kwa nguvu maana shetani wa akina Mwigulu sasa anataka roho za wote wasiounga mkono CCM
 
Ernesto Che

Ernesto Che

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,116
Likes
8
Points
135
Ernesto Che

Ernesto Che

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,116 8 135
usijali mkuu ndio utamaduni mpya ccm wameuanzisha baada ya propaganda ya udini na ukabila video za kutengeneza kushindikana. Ila wanasahau haka kautamaduni very soon katawarudi wenyewe, leo wameua cdm kesho????? mchuma janga hulka na wakwao, kwa hili ccm wasijione wako salama
 
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
2,511
Likes
18
Points
0
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
2,511 18 0
Maombi maombi maombi jamani maombi yanahitajika .......hali ya hatari hii
 
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
999
Likes
6
Points
135
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
999 6 135
Haita tokea kwani hawawezi kujilipua, wanalipua wengine ili waendelee kutawala na kujilimbikizia mali bila kuulizwa na yoyote.
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,727
Likes
1,650
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,727 1,650 280
Haita tokea kwani hawawezi kujilipua, wanalipua wengine ili waendelee kutawala na kujilimbikizia mali bila kuulizwa na yoyote.
Reaction ya serikali na vyombo vyake vya ulinzi itakuwa kubwa kuliko. Hakika nakwambia wanaweza hata kutangaza msiba wa kitaifa hawa na kusimamisha shughuri zote za maendeleo wakijidai kuwa wanajari. Napia utasikia ndani ya masaa machache wahusika wamekamatwa. Tunapoelekekea ni pabaya sana.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,228
Likes
4,625
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,228 4,625 280
Nahisi bomu litarushwa mkutano wa CCM ili kubalance hii ishu. make washashutukiwa wamechemsha baada ya gari la matangazo kutokulipuka.
 
P

Pampuka

Senior Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
199
Likes
1
Points
0
P

Pampuka

Senior Member
Joined Jul 16, 2012
199 1 0
Tutaendelea kuiunga mkono CHADEMA hata kama mtatupiga na mabomu au kutung'oa kucha mpaka siku ambayo tutaiona Tanzania mpya. Msijidanganye hata kidogo kuwa kuishambulia mikutano ya CDM kutarudisha nyuma juhudi zetu za kuitaka Tanzania huru kamwe haturudi nyuma hata hatua moja, daima tutasonga mbele, pamoja na mabomu na kutung'oa kucha.
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,727
Likes
1,650
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,727 1,650 280
Wanachojaribu kufanya ni kuwaogopesha wananchi wasiisuport CHADEMA. Tukio hili la Arusha na kauli ya Mwigulu vinaoana moja kwa moja. Sioni sababu ya IGP kusema atachunguza hiyo kauli zaidi ya kumkamata huyo mheshimiwa mwigulu.
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,223
Likes
770
Points
280
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,223 770 280
hapa napenda kucopy na kupaste baadhi ya nyimbo za bob na luckly dube

It takes a million people
To build up a good reputation
But it takes one stupid fool
To destroy everything they done

There comes a time
In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you
Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord
 
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
521
Likes
2
Points
35
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
521 2 35
hapa napenda kucopy na kupaste baadhi ya nyimbo za bob na luckly dube

It takes a million people
To build up a good reputation
But it takes one stupid fool
To destroy everything they done

There comes a time
In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you
Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord
Tumeshazoea kuuana na bado tunadanganyana eti hatujazoea machafuko kwani machafuko na kuuana tofauti yake nini?Maji yakishaanza kuchemka yenyewe huhisi bado joto sio kali wakati yale ya kwenye mtungi huyaonea huruma yanayowekwa kwenye moto...So Tanzania tumeshafika hapo ni kuendele kujifunza jinsi ya kuishi kwenye hali hii basi!!Ccm wanalipua mikutano ya CDM huku Green Guard wanajeruhi CDM kila kuchao dawa ni kulipua na kujeruhi hivyo hivyo wataelewa tu lugha hiyo
 
S

sir.ben

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
389
Likes
0
Points
33
S

sir.ben

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
389 0 33
Air port wanatorosha madin na pembe,usalama ccm wote a.town.
 
F

Freewild

New Member
Joined
Jun 17, 2013
Messages
3
Likes
0
Points
0
F

Freewild

New Member
Joined Jun 17, 2013
3 0 0
Nanukuu maneno ya wimbo wa Robert Nester Marley (Bob Marley) yanayosema,
Emancipate yourselves from the mental slavery
Non but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
Cause non of them can stop the time.

Watanzania sasa ni wakati wa kuweka nafsi zetu mbali na utumwa wa akili, tusikubali akili zetu kuganda kwenye mawazo kuwa eti CCM kilileta uhuru.
Wengi wetu tumezaliwa miaka kadhaa baada ya uhuru CCM haikuwepo, je huo uhuru kiligombea kwa kina Nchemba Mwigulu au wapi? tunatakiwa kujua japo kwa ufupi historia ya nci yetu na tuondokane na uongo wa viongozi wa CCM. Kama kilileta uhuru, je vile vingine "TAA" TANU, na chana chaa wafanyakazi NUTA vilianya kazi gani? na je uhuru ulikuja mwaka 1977 au baada ya hapo? Ikiwa CCM kilianzishwa 1977 je huo uhuru kiliudai toka wapi? Kwa watnzania wanaoteseka au kwa wale waliofia vizuizini baada ya CCM kuanzishwa.
Tafakari.
 
F

Freewild

New Member
Joined
Jun 17, 2013
Messages
3
Likes
0
Points
0
F

Freewild

New Member
Joined Jun 17, 2013
3 0 0
Tanzanian this is not the time to sleep more, please wake up fight for your wright without any fear, All the resources are taken to benefit only few of us in the country of everyone.
Our children are suffered with no good and standard education, a lot of people are dying for no good health care.
Deflation becoming a very big problem in our country, There is no vacancies for those who are graduate in all the university. Teachers and Doctors basic needs are not satisfied, Price growth is very high daily. Steel we are waiting to see the changes from the same Government which brings all these to the society.
We need people with vision and those who will give everything of themselves for the country and not those who like the country to give everything for them. Wake up Tanzanian, this is not the time to be like dormant. Be active and change our feelings about our country, we have to know that there is no one will help to make things right. Make our mind clear and take action, there is no time to waste by now. We can't sit down and look our relative get killed by these planted terrorist bomb any more, i know it will be very difficult if we don't stand together and say no to every CCM propaganda.
Think of it and take action, i feel very pain to see all these. Thats why i take my time to write this short article to make all the Tanzanian to choose which is good for us, to get killed or to change the Government we have in order to reveal the peace all over Tanzania. I know it will be hard and difficult for those who are mental slavery, but those who are seriously need a change it will be very easy and simple, just use your wright by voting someone who deserve to be the good leader of the society.

Keep it in your mind for the next election in 2015, Tanzania we are very tied with this kind of life we are running through. We can't proceed with working hard for the few people benefit, we need to benefit everyone in this country by using the resources we have in our country.

Think of it and take action.
 

Forum statistics

Threads 1,274,695
Members 490,787
Posts 30,521,528