kwann nawachukia CHADEMA na CCM

A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Sasa hivi ukiwakuta chadema kwenye mikutano yao ni kuiponda ccm na mda kidogo ndo sera zinzunguzwa na ukienda mikutano ya ccm issue ni slaa,au shibuda au mbowe mkutano unaisha sera hamna naafikiri tubadilike nachukia staili hii ya siasa
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Siasa zibadilike ifikie sasa chama kiseme tu sera zake bila kutukana kingine ili kutoleta chuki baina ya chama na chama
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Huo ndo mwanzo wa mwishowa watawala, huwezi kutoa sera hasa kutoka CHADEMA bila kuwaeleza watu kwa nini watu ni maskini wakati tukiwa katikakati ya utajiri wa raslimali, na hao wanaozitumia hovyo kwa kuwagawia wageni si wengine ispokuwa serikali ya CCM.

CCM kwa kujua kwamba wanaowjua nakuwaeleza wananchiukweli ni CHADEMA hivyo lazima watafute control mechanism ya kuhakikisha kwamba wanadhibiti hali hii, ndio maana hawasemi watatekelezaje ahadi zao ila ni kuwashanbulia wapinzani tu.

Siasi za vyamba vingi ziko hivyo kokote duniani, watawala wanajitahidi kuwadhibiti wapinzani wao ili udhaifu na uovu wao usiendelee kuanikwa, CHADEMAkwa hapa kwetu ndo walinzi wa wanyonge kwa kuhakikisha wanapata siri nyingi za watawala na kuzianika ili watu wajue kwamba chaguo lao halikuwa makini,

Wala usiogope ili mradi wananchi wamepata mtu wa kuwasemea wao wakae mkaowa kusikia madhaifu ya watawala ila kama ningekuwa na fursa ya kuwashauri watawala ambaao ni makini wao wangewapenda zaidi wapinzani wao ili wasikie wapi hawajafanya vizuri ili warekebishe na kusonga mbele, lakini hawa waliopo sio wenyewe maana wanathibitisha kwaamba ni kweli wanachotuambia CHADEMA, maana wao wangetimiza ahadi zao walizotoa ili tuwaamini lakini sivyo hivyo. TAFAKARI
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
huo ndo mwanzo wa mwishowa watawala, huwezi kutoa sera hasa kutoka chadema bila kuwaeleza watu kwa nini watu ni maskini wakati tukiwa katikakati ya utajiri wa raslimali, na hao wanaozitumia hovyo kwa kuwagawia wageni si wengine ispokuwa serikali ya ccm.

Ccm kwa kujua kwamba wanaowjua nakuwaeleza wananchiukweli ni chadema hivyo lazima watafute control mechanism ya kuhakikisha kwamba wanadhibiti hali hii, ndio maana hawasemi watatekelezaje ahadi zao ila ni kuwashanbulia wapinzani tu.

Siasi za vyamba vingi ziko hivyo kokote duniani, watawala wanajitahidi kuwadhibiti wapinzani wao ili udhaifu na uovu wao usiendelee kuanikwa, chademakwa hapa kwetu ndo walinzi wa wanyonge kwa kuhakikisha wanapata siri nyingi za watawala na kuzianika ili watu wajue kwamba chaguo lao halikuwa makini,

wala usiogope ili mradi wananchi wamepata mtu wa kuwasemea wao wakae mkaowa kusikia madhaifu ya watawala ila kama ningekuwa na fursa ya kuwashauri watawala ambaao ni makini wao wangewapenda zaidi wapinzani wao ili wasikie wapi hawajafanya vizuri ili warekebishe na kusonga mbele, lakini hawa waliopo sio wenyewe maana wanathibitisha kwaamba ni kweli wanachotuambia chadema, maana wao wangetimiza ahadi zao walizotoa ili tuwaamini lakini sivyo hivyo. Tafakari
mbona unaumiza watu macho
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Siasa za marekani hata sare hamna ni sera tu hapa kwetu jua kali wamevaa gwanda kama mgambo wengine kijani na njano
 
M

mujore

Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
89
Likes
0
Points
0
Age
29
M

mujore

Member
Joined Jan 9, 2013
89 0 0
Huo ndo mwanzo wa mwishowa watawala, huwezi kutoa sera hasa kutoka CHADEMA bila kuwaeleza watu kwa nini watu ni maskini wakati tukiwa katikakati ya utajiri wa raslimali, na hao wanaozitumia hovyo kwa kuwagawia wageni si wengine ispokuwa serikali ya CCM.

CCM kwa kujua kwamba wanaowjua nakuwaeleza wananchiukweli ni CHADEMA hivyo lazima watafute control mechanism ya kuhakikisha kwamba wanadhibiti hali hii, ndio maana hawasemi watatekelezaje ahadi zao ila ni kuwashanbulia wapinzani tu.

Siasi za vyamba vingi ziko hivyo kokote duniani, watawala wanajitahidi kuwadhibiti wapinzani wao ili udhaifu na uovu wao usiendelee kuanikwa, CHADEMAkwa hapa kwetu ndo walinzi wa wanyonge kwa kuhakikisha wanapata siri nyingi za watawala na kuzianika ili watu wajue kwamba chaguo lao halikuwa makini,

Wala usiogope ili mradi wananchi wamepata mtu wa kuwasemea wao wakae mkaowa kusikia madhaifu ya watawala ila kama ningekuwa na fursa ya kuwashauri watawala ambaao ni makini wao wangewapenda zaidi wapinzani wao ili wasikie wapi hawajafanya vizuri ili warekebishe na kusonga mbele, lakini hawa waliopo sio wenyewe maana wanathibitisha kwaamba ni kweli wanachotuambia CHADEMA, maana wao wangetimiza ahadi zao walizotoa ili tuwaamini lakini sivyo hivyo. TAFAKARI
jee na huko ni uamshoo..nyinyi tanganyika kujitioa maakili pale wazanzibari wanapotafuta haki zao... mlikua kila tukipigania haki zetu za kuonewa na kupigwa nyinyi mnafurahia.. kumbukeni katika kutafuta haki lazima action kama hizo huwa zinafanywa na wasopenda au walokua na ham ya kuburuza wenziwao kila siku.. hakikisha kila upande flan ukupata shiddda wewe usifurahie bali jua ndo mcahkato wa kutafuta haki.. by the way tuko pamoja kwa hali na mali ndugu zetu wa tanganyika na mungu tawapa uwepesi on the way.. bali next time wacha kufurahia sisi tukiwekwa ndani na kupigwa kule zanzibar kwani ukweli ndo huo.. ni haki yetu tuu tunadai na tutaendelea kudai
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
jee na huko ni uamshoo..nyinyi tanganyika kujitioa maakili pale wazanzibari wanapotafuta haki zao... mlikua kila tukipigania haki zetu za kuonewa na kupigwa nyinyi mnafurahia.. kumbukeni katika kutafuta haki lazima action kama hizo huwa zinafanywa na wasopenda au walokua na ham ya kuburuza wenziwao kila siku.. hakikisha kila upande flan ukupata shiddda wewe usifurahie bali jua ndo mcahkato wa kutafuta haki.. by the way tuko pamoja kwa hali na mali ndugu zetu wa tanganyika na mungu tawapa uwepesi on the way.. bali next time wacha kufurahia sisi tukiwekwa ndani na kupigwa kule zanzibar kwani ukweli ndo huo.. ni haki yetu tuu tunadai na tutaendelea kudai
mkuu hv umeelewa huu uzi
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
let us copy usa politics style
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
siasa za majitaka na uhasama zinazid
 
Forum statistics

Threads 1,273,538
Members 490,428
Posts 30,484,489