Mabomu yatembezwa Nyampulukano - Sengerema

Mabomu yatembezwa Nyampulukano - Sengerema

Joined
Dec 1, 2011
Posts
10
Reaction score
4
Mabomu ya machozi yanapigwa muda huu,matokeo yamechelewesha kutangazwa.Watu walinataka kuvamia ofis ya mamlaka ya mjiwa Sengerema,tutaendelea kuwajulisha
 
Dr. Dr. Nape hebu tutolee tamko
images
 
Ukiuona utawala unatumia hila kutawala jua mwisho wa utawala huo ndio unawadia.
 
Acha watupige mabomu ni wakati wao.....!!!

Ipo siku tutaheshimiana tu....!!
 
sengerema ccm wamepigwa na chadema vituo vyote kasoro kimoja nashangaa kwa nini tume imegoma kutangaza sijui wanasubiri amri ya nani?
 
sengerema ccm wamepigwa na chadema vituo vyote kasoro kimoja nashangaa kwa nini tume imegoma kutangaza sijui wanasubiri amri ya nani?

Mkuu vp kuhusu Lugata,na ile ishu ya Waziri Tizeba kugonga mtu huko Buchosa imefikia wapi?
 
chama ni kama mtu hukua huzaa huzeeka hufa,mtoto ni CDM mwachieni mtoto nae.Mabomu hayatamzuia.
 
Ila mna moyo sana

Mmegaragazwa kinoma lakini bado mnajiona mko juu.
Chris unajua nadhalilisha jamaa wote wanaokaa nje ya nchi hasa UK, kufikiria kwako huwa ni kudogo sana mzee wa kupenda masifa. Njoo na jumla ya kura za CCM na CDM alafu uchambue ndo uweze kusema wana moyo.
 
Back
Top Bottom