Ha ha haa, ila leo anaongea point. Japo kwa Urais hafai!
Kitendo cha kumwangalia kwenye Dakika 45 tayari ushaanguka mapenzini naye!
My Gosh!
Ha ha haa, ila leo anaongea point. Japo kwa Urais hafai!
kimtandao na kimkakati kaachwa mbali sana na EL.ajitafakari upya.
Mie naona kama vile anafaa, hebu nidadavulie kiuwazi ni aina gani za ufisadi (zilizo kweli) ambazo zamchafua ili nijiaminishe na nisiipoteze kura yangu kwake.Lowasa ni fisadi..msimchague!!
Mie naona kama vile anafaa, hebu nidadavulie kiuwazi ni aina gani za ufisadi (zilizo kweli) ambazo zamchafua ili nijiaminishe na nisiipoteze kura yangu kwake.
​Umeruka majivu na kukanyaga moto Arudishe yale mashamba aliyonyakua, mkopo wa fedha za NSSF na mengine kibao