Kama bomu la Arusha lingerushwa kwenye mkutano wa CCM


B

BUNUNGULI

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
193
Likes
5
Points
0
B

BUNUNGULI

Senior Member
Joined Apr 4, 2013
193 5 0
Nimeshangazwa na kauli ya nape kuwa shambulio hili liliandaliwa chadema,katika hali ya kawaida ni mjinga gani gani anaweza kujishambulia mwenyewe?kama kauli hii imetoka kwa kiongozi wa CCM na walioathirika ni CDM vipi kauli gani wana CCM wangetoa kama shambulio hilo lingefanyika kwenye mkutano wa ccm? Kimsingi nape na lukuvi wanawatania watanzania,kauli zao zina maudhi,kejeli na kukosa utu,au wanadhani waliokufa ni kuku? Wakati huo huo mbowe kasema wana mkanda wa aliyehusika,kwanini wasizungumze naye wakarahisisha kumkamata?milioni 100 ya nini wakati tukio lilifanyika mchana kweupe na watu wanasema ushahidi wanao? Ndugu zangu serikali inatukejeri,labda kwa sababu waliokufa ni chadema ambao kimsingi kwa upande wa serikali ya CCM watu hawa hawana thamani ni sawa na kuku
 

Forum statistics

Threads 1,274,856
Members 490,833
Posts 30,526,099