Tanzania yetu

BABYALWA

New Member
Oct 16, 2012
3
0
Ikiwa ni siku moja imepita tangu tukio la kusikitisha litokee JIJINI ARUSHA, na lazimika kushangaa ni nini hasa tunachowaza kuendelea kuwa na viongozi wavivu wa kufikiri kama NAPE NNAUYE sijambo la busara kwa mtu kama yeye kutuletea hearsay EVIDENCE kwenye tukio hilo eti niliwahi kuambiwa huo ni ubabaishaji mkubwa. Binafsi nimesikitika sana poleni wahanga wa tukio hilo!
 
Back
Top Bottom