Nionavyo mimi: Kwa hapa tulipofikia- dr. Kikwete atumie akili yake na si ushauri!

I

Ichobela

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
269
Likes
67
Points
45
Age
50
I

Ichobela

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
269 67 45
Nilibahatika kushiriki chaguzi zote za uraisi wa Dr Jakaya Kikwte, si muda wake kusema nilimpa kura au la huu ni wakati wa kuelezea ninavyomuona mimi raisi wetu huyu. Tukiachana na ushabiki wa kisiasa huyu mzee si mtu mbaya na si dhaifu kiasi ambacho watanzania tumekuwa tukifikiria, kiukweli Dr Jakaya ni mtu muungwana sana na ni mpole sana. Tukilinganisha awamu mbili tu ya raisi Mkapa na ya Kikwete utapata ukweli ya kuwa Mkapa alikuwa mbabe sana na hakutaka kusikia wala hakuwa na muda wa kumhurumia mtanzania. Kwa sasa watu tunamsema raisi, wanahabari wamekuwa wakiandika kwa uhuru kiasi si kama awamu iliyopita. Kuhusu hii sintofahamu inayolikumba taifa letu, nahisi raisi wetu anadanganywa, anapewa taarifa zisizosahihi! Ninakuewaa na mashaka kwa ninavyomjua huu mzee, hali inayolikumba taifa letu, watu wanaanza kutoa maneno yanayoweza kuleta hatari zaidi ya kumaliza tatizo tena bungeni! Taarifa ya serkali iliyosomwa na Mh Lukuvi inatia shaka kama ni ya serikali au ni ya Lukuvi mwenyewe! Mh huyu alisema askari walikuwa wamkamate mtu aliyerusha bomu lakini walizuiwa na wananchi kwa kupigwa mawe hivyo wakashindwa kufanya kazi yao wakaanza kujihami! Kwa akili hta ya mtoto wa darasa la kwanza, hivi inaingia akilini mtu kaptwa na janga uende kumsaidia aanze tena kukushambulia!? Kweli jamani, ndugu yangu Kikwete kweli? Hizi taarifa umezipokea au hata hujaambiwa? Binafsi naomba kupingana kabisa na mh Lukuvi, bado naamini Dr. Kikwete sasa ni wakati ambao uliwaahidi watanzania kuwa utwashangaza kwa kukumbukwa kwa mazuri, upole wako unatumiwa vibaya na wasaidizi wako. Nakataa kabisa kuwa wewe si dhaifu,bado naamini kuwa unaweza kufanya maamuzi ya kukumbukwa ukitumia akili yako na kuachana na ushauri unaokupoteza! Nilimsikiliza kijana wako Nape pia, hapa napo nilipatwa na simanzi, hivi Nape anamaanisha wakatoliki pia walijirushia bomu pale kanisani? Hivi kuna ulazima gani wa kuweka propaganda sehemu ambayo hahihitaji propaganda!? Ifikie wakati raisi wetu awakatae hadharani hawa aliodhani wangemsaidia lakini wamegeuka kumsaliti. Watnzania hatutaki propagnada, tunahitaji maendeleo. Siasa ziishie majukwaani lakini ofisini iwe utendaji. Nashauri mheshimiwa Kikwete bado uko na nafasi ya kuonyesha watanzania kuwa walikuamini na unauwezo wa kuwahakikishia usalama kwa kukataa maneno ya kupikwa, twende kwenya ukweli. Watu wa Arusha waliokuwa kwenye mkutano wanaujua ukweli wa kilichotokea, Lukuvi katoa tamko kwa haraka sana sidhani kama kafanya upembuzi yakinifu wa hayo maneno yake. Naamini kama hatutaweka mambo ya kisiasa, sintofahamu hii itapata jibu kwa vile Mungu wetu hataacha wenye haki wahangaike.
 
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,334
Likes
2,905
Points
280
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,334 2,905 280
ULIKUWA UNAANDIKA IKIWA KATIKA GUN-POINT AU! andika vizuri ndugu yangu!
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Unamtetea rais bure, kushindwa ni kushindwa kwa kujua, kutokujua, kudanganywa, kushawishiwa, kulogwa, kupotezwa fahamu vyovyote vilie, kwani matokeo yake ni yale yale...Kama ungejua nafasi ya rais katika nchi wala usipoteze muda kutetea huu upuzi, na ukitaka kujua rais anasauti na anauwezo wa kufanya kitu bila kuja anadanganywa nikama hilo bomu linge rushwa katika mkutano wa CCM ndiyo ungeziona rangi zote za kikwete. Kani unadhani rais anaishi sayari tofauti na hii na hivyo kazi yake kupokea maagizo. Hii inayo sumbua ni joto la kisiasa na chama kupoteza mvuto. huu ni mwanzo tuangalie tukielekea huko 2015. Mungu aibariki hii nchi yetu. kuna vizazi bado vinakuja. ujinga wetu wa uchu wa madaraka usiwahribie vizazi vijavyo visivyo na dhambi tulizo zitengeneza
 
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
543
Likes
82
Points
45
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
543 82 45
Unamtetea rais bure, kushindwa ni kushindwa kwa kujua, kutokujua, kudanganywa, kushawishiwa, kulogwa, kupotezwa fahamu vyovyote vilie, kwani matokeo yake ni yale yale...Kama ungejua nafasi ya rais katika nchi wala usipoteze muda kutetea huu upuzi, na ukitaka kujua rais anasauti na anauwezo wa kufanya kitu bila kuja anadanganywa nikama hilo bomu linge rushwa katika mkutano wa CCM ndiyo ungeziona rangi zote za kikwete. Kani unadhani rais anaishi sayari tofauti na hii na hivyo kazi yake kupokea maagizo. Hii inayo sumbua ni joto la kisiasa na chama kupoteza mvuto. huu ni mwanzo tuangalie tukielekea huko 2015. Mungu aibariki hii nchi yetu. kuna vizazi bado vinakuja. ujinga wetu wa uchu wa madaraka usiwahribie vizazi vijavyo visivyo na dhambi tulizo zitengeneza
Hapo umenena mkuu. Raisi anaedanganywa nae akadanganyika, hafai. Rais aliyedanganywa na akadanganyika, na akagundua kuwa alidanganywa na asichukue hatua kwa aliyemdanganya, Rais huyo hafai kabisaaaa.
 
mutabilwa

mutabilwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
305
Likes
2
Points
0
Age
35
mutabilwa

mutabilwa

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
305 2 0
Nilibahatika kushiriki chaguzi zote za uraisi wa Dr Jakaya Kikwte, si muda wake kusema nilimpa kura au la huu ni wakati wa kuelezea ninavyomuona mimi raisi wetu huyu. Tukiachana na ushabiki wa kisiasa huyu mzee si mtu mbaya na si dhaifu kiasi ambacho watanzania tumekuwa tukifikiria, kiukweli Dr Jakaya ni mtu muungwana sana na ni mpole sana. Tukilinganisha awamu mbili tu ya raisi Mkapa na ya Kikwete utapata ukweli ya kuwa Mkapa alikuwa mbabe sana na hakutaka kusikia wala hakuwa na muda wa kumhurumia mtanzania. Kwa sasa watu tunamsema raisi, wanahabari wamekuwa wakiandika kwa uhuru kiasi si kama awamu iliyopita. Kuhusu hii sintofahamu inayolikumba taifa letu, nahisi raisi wetu anadanganywa, anapewa taarifa zisizosahihi! Ninakuewaa na mashaka kwa ninavyomjua huu mzee, hali inayolikumba taifa letu, watu wanaanza kutoa maneno yanayoweza kuleta hatari zaidi ya kumaliza tatizo tena bungeni! Taarifa ya serkali iliyosomwa na Mh Lukuvi inatia shaka kama ni ya serikali au ni ya Lukuvi mwenyewe! Mh huyu alisema askari walikuwa wamkamate mtu aliyerusha bomu lakini walizuiwa na wananchi kwa kupigwa mawe hivyo wakashindwa kufanya kazi yao wakaanza kujihami! Kwa akili hta ya mtoto wa darasa la kwanza, hivi inaingia akilini mtu kaptwa na janga uende kumsaidia aanze tena kukushambulia!? Kweli jamani, ndugu yangu Kikwete kweli? Hizi taarifa umezipokea au hata hujaambiwa? Binafsi naomba kupingana kabisa na mh Lukuvi, bado naamini Dr. Kikwete sasa ni wakati ambao uliwaahidi watanzania kuwa utwashangaza kwa kukumbukwa kwa mazuri, upole wako unatumiwa vibaya na wasaidizi wako. Nakataa kabisa kuwa wewe si dhaifu,bado naamini kuwa unaweza kufanya maamuzi ya kukumbukwa ukitumia akili yako na kuachana na ushauri unaokupoteza! Nilimsikiliza kijana wako Nape pia, hapa napo nilipatwa na simanzi, hivi Nape anamaanisha wakatoliki pia walijirushia bomu pale kanisani? Hivi kuna ulazima gani wa kuweka propaganda sehemu ambayo hahihitaji propaganda!? Ifikie wakati raisi wetu awakatae hadharani hawa aliodhani wangemsaidia lakini wamegeuka kumsaliti. Watnzania hatutaki propagnada, tunahitaji maendeleo. Siasa ziishie majukwaani lakini ofisini iwe utendaji. Nashauri mheshimiwa Kikwete bado uko na nafasi ya kuonyesha watanzania kuwa walikuamini na unauwezo wa kuwahakikishia usalama kwa kukataa maneno ya kupikwa, twende kwenya ukweli. Watu wa Arusha waliokuwa kwenye mkutano wanaujua ukweli wa kilichotokea, Lukuvi katoa tamko kwa haraka sana sidhani kama kafanya upembuzi yakinifu wa hayo maneno yake. Naamini kama hatutaweka mambo ya kisiasa, sintofahamu hii itapata jibu kwa vile Mungu wetu hataacha wenye haki wahangaike.
Fumbua macho yako mkuu utaona mengi na Neno DHAIFU litakuwa la kawaida mdomoni mwako, usimtetee rais, mangapi kafanya yy lakini hovyo? Si bora aendelee kushauliwa kuliko kufanya yeye kama yeye make ni mbaya kuliko.Mfano: uteuzi wa mawaziri tangu aingie aipiti miaka miwili wengi aliowateua hovyo, Richmond aliagiza yeye, je uliona alivyomkaanga Lowassa, aliahidi sukari ishuke hadi 1700/= je nikuulize ww unanunua sh. ngapi hapo ulipo? Haya ni machache, Ndo maana neno DHAIFU halitaisha ndani ya ccm wote wanalifaham hilo.
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Hapo umenena mkuu. Raisi anaedanganywa nae akadanganyika, hafai. Rais aliyedanganywa na akadanganyika, na akagundua kuwa alidanganywa na asichukue hatua kwa aliyemdanganya, Rais huyo hafai kabisaaaa.
Umenisoma mkuu! na ndiyo maana bado anaendele kudanganywa na mikataba ya kichina uku nchi ikizidi kuingia shimoni!
Kwanini rais wa marekani ambaye anaongoza nchi kubwa kidunia asidanganyike na we udanganywe wewe unye ongoza dunia ya tatu, ambayo sehemu nyingine watu hawajui viatu nini? sasa huyu rais anafaida gani nasi. kwani sisi tulikuwa tuna mtafuta kiongozi wa kumdanganya?
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Mleta mada nadhani humjui vizuri Kikwete uliza tuliowahi kufanya naye kazi tukwambie.
Sifa kubwa sana za Kikwete ni: MFITINI, MWONGO, DHAIFU na MCHAFU.

Tulisema toka 2005 kabla hajawa rais kuwa Kikwete hafai kabisa kuongoza nchi yetu.
Mwogope sana mtu anayejua usanii wa kuweza kudanganya watu wanyonge kwa ujanja ujanja.
Kikwete ana hicho kipawa na ndisho kilichompa urais 2005.
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
Nilibahatika kushiriki chaguzi zote za uraisi wa Dr Jakaya Kikwte, si muda wake kusema nilimpa kura au la huu ni wakati wa kuelezea ninavyomuona mimi raisi wetu huyu. Tukiachana na ushabiki wa kisiasa huyu mzee si mtu mbaya na si dhaifu kiasi ambacho watanzania tumekuwa tukifikiria, kiukweli Dr Jakaya ni mtu muungwana sana na ni mpole sana. Tukilinganisha awamu mbili tu ya raisi Mkapa na ya Kikwete utapata ukweli ya kuwa Mkapa alikuwa mbabe sana na hakutaka kusikia wala hakuwa na muda wa kumhurumia mtanzania. Kwa sasa watu tunamsema raisi, wanahabari wamekuwa wakiandika kwa uhuru kiasi si kama awamu iliyopita. Kuhusu hii sintofahamu inayolikumba taifa letu, nahisi raisi wetu anadanganywa, anapewa taarifa zisizosahihi! Ninakuewaa na mashaka kwa ninavyomjua huu mzee, hali inayolikumba taifa letu, watu wanaanza kutoa maneno yanayoweza kuleta hatari zaidi ya kumaliza tatizo tena bungeni! Taarifa ya serkali iliyosomwa na Mh Lukuvi inatia shaka kama ni ya serikali au ni ya Lukuvi mwenyewe! Mh huyu alisema askari walikuwa wamkamate mtu aliyerusha bomu lakini walizuiwa na wananchi kwa kupigwa mawe hivyo wakashindwa kufanya kazi yao wakaanza kujihami! Kwa akili hta ya mtoto wa darasa la kwanza, hivi inaingia akilini mtu kaptwa na janga uende kumsaidia aanze tena kukushambulia!? Kweli jamani, ndugu yangu Kikwete kweli? Hizi taarifa umezipokea au hata hujaambiwa? Binafsi naomba kupingana kabisa na mh Lukuvi, bado naamini Dr. Kikwete sasa ni wakati ambao uliwaahidi watanzania kuwa utwashangaza kwa kukumbukwa kwa mazuri, upole wako unatumiwa vibaya na wasaidizi wako. Nakataa kabisa kuwa wewe si dhaifu,bado naamini kuwa unaweza kufanya maamuzi ya kukumbukwa ukitumia akili yako na kuachana na ushauri unaokupoteza! Nilimsikiliza kijana wako Nape pia, hapa napo nilipatwa na simanzi, hivi Nape anamaanisha wakatoliki pia walijirushia bomu pale kanisani? Hivi kuna ulazima gani wa kuweka propaganda sehemu ambayo hahihitaji propaganda!? Ifikie wakati raisi wetu awakatae hadharani hawa aliodhani wangemsaidia lakini wamegeuka kumsaliti. Watnzania hatutaki propagnada, tunahitaji maendeleo. Siasa ziishie majukwaani lakini ofisini iwe utendaji. Nashauri mheshimiwa Kikwete bado uko na nafasi ya kuonyesha watanzania kuwa walikuamini na unauwezo wa kuwahakikishia usalama kwa kukataa maneno ya kupikwa, twende kwenya ukweli. Watu wa Arusha waliokuwa kwenye mkutano wanaujua ukweli wa kilichotokea, Lukuvi katoa tamko kwa haraka sana sidhani kama kafanya upembuzi yakinifu wa hayo maneno yake. Naamini kama hatutaweka mambo ya kisiasa, sintofahamu hii itapata jibu kwa vile Mungu wetu hataacha wenye haki wahangaike.
Alisha kuambieni kwamba hafuati/hukataa ushauri anao shauriwa. (JM Kikwete. Kampeni za uraisi 2010 Nyamagana-Mwanza).

Mnataka ,ajibu gani zaidi ya hayo?
 
D

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Messages
1,766
Likes
3
Points
0
D

duchi

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2012
1,766 3 0
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044