Huku sasa ni kuanza kurusha mawe kabla ngumi hazijaisha


mutabilwa

mutabilwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
305
Points
0
Age
35
mutabilwa

mutabilwa

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
305 0
Wana JF napenda kujenga hoja hapa ya yaliyojili arusha, Kwa kuanza hebu tujikumbushe tamko la CDM mara baada ya Lwakatate kukamaywa ilikuwa hivi:
................. Aidha, Nchemba amedai kumiliki video ile Desemba mwaka jana, lakini rekodi hiyo iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii (YouTube na Jamii Forum) baada ya kutekwa kwa Kibanda. Hapa mtu makini anaweza kujiuliza, hiki kimelenga nini?

Kwamba genge hili la kina Nchemba na wenzake, walipanga kumteka Kibanda, wakatimiza lengo lao hilo, baadaye wakaingia kwenye plani B ya kutaka kuihusisha Chadema. Wakamtumia Ludovick Joseph Rwezahula ambaye ni mshitakiwa wa pili katika kesi ya Lwakatare, kufanikisha mkakati wao huu wa kishetani.

Ndugu waandishi wa habari;
Huu ni mchezo mchafu na wahatari mno ambao kwa vyovyote vile, haupaswi kuvumiliwa. Kuanzia sasa nimeamua kwa dhati kabisa, kukomesha mchezo huu ambao unahatarisha uhai wa taifa letu.............

Nia yangu ilikuwa ni kuwataadhaisha na watu wanao jiita CCM grean Guards ambao wanachza mchezo mchafu na nyuma yao kuna watu wanaowatetea.
 

Forum statistics

Threads 1,285,905
Members 494,777
Posts 30,878,432
Top