Jimbo la Singida Magharibi wamlilia mbunge wao Mwigulu Nchemba

E

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
1,977
Likes
917
Points
280
E

ebaeban

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
1,977 917 280
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu,
Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo yao kwani shida zimewakaba hadi shingoni. Wanamstaajabu mbunge wao ambae wakati rais wake anachanja mbuga duniani yeye mbunge anachanja mbuga inchini akiwawakilisha wanainchi ambao hawakumchagua akiwaacha wao katikati ya lindi la matatizo. Nimepita jimboni mwa huyo mbunge wapiga kura wake wakanieleza yafuatayo kwa mdomo wao:-
Shida zinazowakabili-

1. Njaa kali.
Wana uhaba mkubwa wa chakula mvua zilikuwa haba sana ukitilia maanani wenywe wako kwenye bonde la ufa inabidi kupata mvua za kutosha ili wavune mtama (lugugu) wacha mahindi, kwa hiyo wanauhaba mkubwa wa chakula familia nyingi karibu % 90 katika jimbo la Mwigulu wanakula mlo mmoja na huo mlo mmoja hawashibi. Watoto wa shule wanashindwa kwenda shule shauri ya njaa, pia wakirudi nyumbani saa 6 wanalala inje ya nyumba shauri ya njaa kali ndani hamna kitu na wazazi wao hawapo wamekwenda kutafuta vibarua, wengine wanazirahi.

2. Umasikini wa kipato.
Wanaumaskini mkubwa wa kipato wachilia mbali njaa inayowakabili, hawana zao lolote la maana la biashara,ajira wanayoitegemea ingalao kupata kipato ili kutatua matatizo yao ni ombaomba kwenye treni, na biashara za ovyoovyo kwenye treni yakati biashara kama kuuza ujugu, vikapo , vindege, vifilimbi vya miti, ukwaju na ubuyu, ni vibiashara vya kijinga jinga tu, vijana wengi wamekimbia jimbo wasichana kwa wavulana wameenda kutafuta ajira mjini na wengine wameenda kutafuta vibarua vya kulima tumbaku katika vijiji kata ya Igwisi urambo.

3. Ukame mkali.

Kuna ukame wa hali ya juu, ukame unawakabili watu na mifugo, mifugo kuanzia vijiji vya Kintinku, Igose, Makutupora Kirimatinde Salanda, Ulyampiti, Msigili hadi Sherui mifugo wanakunywa mgwao, yaani wanakunywa leo siku inayofuata hawanywi maji.Maji yenyewe wanayapata kwa kuesea kwa kutumia Nkosi,wanadamka usiku kwenda kwenye visima walivyochimba wenyewe ili kuchotelea maji kwa kutumia nkosi na kujaza mrambo ili mchana mifugo waje wanywe, kazi hiyo ni ngumu sana inawafanya vijana wengi kukimbia makazi yao au kuwa ni ajira kwa wenye uwezo, mtu unafanya kazi hiyo ngumu halafu anaishia kupewa chakula tu jioni.

4. Wizi wa mifugo.

Kuna wizi wa mifugo wa hali ya juu, hii ni kutokana na njaa kali, mifugo inaibiwa nyumbani usiku au mchungaji ananyang`anywa mchana kweupe machungani, mifugo inaibiwa kiasi kuna tishio la mifugo kwisha kwa wizi, wengine huiba mbuzi na kwenda kuchinja polini na kuishia kula nyama shauri ya njaa.

5. Magonjwa:

Tunakabiliwa na magonjwa ya kuambikiza, magonjwa yanayotusumbua ni Malaria na kichocho, malaria inatusumbua kwa ajili ya joto hapa jimboni kwa Mwigulu ni bonde la ufa yaani ardhi imetitia chini hivyo joto kweli usiku na mbu ni wengi , kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya kama zahanati na vituo vya afya hamana dawa mseto kuna paracetamo tu, pia uwezo wa kukata bima ya afya hatuna kwa sababu ya umasikini wa kipato, Kichocho kinasumbua sana hasa wanafunzi ,shule kama Ulyampiti karibu wanafunzi wote wana kichocho dawa ya Parazenguantel hamana katika vituo vyote hadi hospitali ya mkoa ya Singida, halafu dawa yenyewe ni ghali.
Ushauri kwa Mbunge wa Mwigulu
Aje akae jimboni ili waweze kusaidiana kukabili matatizo haya , huko unakozurula kwani ndiko walio mchagua? Aache kuhangaika na LEMA kwani mbunge huyo hamwezi wanaweza wenyewe waliomchagua. Kupenda ni sehemu ya uhai , kumeambatana na uhai kupenda hakuwezi kwisha mpaka uhai umetoweka kwa hiyo kama Arusha wanampenda mbunge wao Mwigulu hata ufanyeje unajisumbua tu njoo jimboni utusaidie wapiga kura wako tunakwisha. Huyo LEMA unayempiga vita yeye anawapigania wapiga kura wake hadi saa ingine bungeni haendi hadi anafungwa jela mahabusu wewe Mwigulu unazurula tu unatusahau,

Kama mbunge una uwezo kutusaidia kupata dawa hasa za kichocho, kulobe chakula kije jimboni ingalao tutanua, Kwenye jimbo la Tundu Lisu mashuleni wanafunzi wanapata mlo wa mchana kupitia Pragram ya WFP, Mbunge wetu Mwigulu yuko wapi na sisi tupate mpango huu. Njoo tusaidiane kuandaa mkakati wa kukabiliana na wizi wa mifugo, njoo tujipange tuweze kukata bima za afya kwa watendaji wa kata ingalao zituwezeshe kupata matibabu hata hayo kiduchu.

Mbunge wetu Mwigulu njoo jimboni sisi wapiga kura wako tunakulilia kwani hiyo jeuri uliyopewa na Rais kwamba wewe unakabiliana na wapinzani hukimbilii polisi isikuvimbishe kichwa kiasi unasahau wajibu wako.
 
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
361
Likes
2
Points
0
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
361 2 0
mkuu, naona Mwigulu Nchemba kaamua kuwatelekeza, kwa sasababu 2015 hatogombea tena, kutokana na kubana sana na kamanda Kitila Mkumbo

Ushauri, amalizia muda wake, mambo ya kuanza kumuangukia Mungu, eti kazi ya Mungu ndio haina makosa, haikubaliki.
tekeleza wajibu wako!
 
Last edited by a moderator:
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Ninawaonea huruma sana wananchi wa Iramba magharibi kuwa na Mbunge wa ajabu ajabu kama Mwigulu(Savimbi).
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Likes
57
Points
45
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 57 45
kuna watu mnapenda kujifariji?hivi wewe unapafahamu iramba au umeamua tu kuja kufurahisha jukwaa?anyway,sema huo ----- tuseme ni kweli,nchemba akibaki iramba ndio mvua itanyesha?atagawa pesa kumaliza umaskini wa kila mpiga kura?atamaliza ukame?don't tell me majimbo yote wanayoongoza upinzani mvua zinanyesha za kumwaga,hakuna ukame,hakuna njaa,hakuna magonjwa maisha tambarare kama mbinguni!!!!watu dizaini yenu ndio mnafanya upinzani wanadharaulika.hapo kwa akili yako ndogo unajiona umemuharibiaaaa nchemba!!!
 
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu,
Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo yao kwani shida zimewakaba hadi shingoni. Wanamstaajabu mbunge wao ambae wakati rais wake anachanja mbuga duniani yeye mbunge anachanja mbuga inchini akiwawakilisha wanainchi ambao hawakumchagua akiwaacha wao katikati ya lindi la matatizo. Nimepita jimboni mwa huyo mbunge wapiga kura wake wakanieleza yafuatayo kwa mdomo wao:-
Shida zinazowakabili-

1. Njaa kali.
Wana uhaba mkubwa wa chakula mvua zilikuwa haba sana ukitilia maanani wenywe wako kwenye bonde la ufa inabidi kupata mvua za kutosha ili wavune mtama (lugugu) wacha mahindi, kwa hiyo wanauhaba mkubwa wa chakula familia nyingi karibu % 90 katika jimbo la Mwigulu wanakula mlo mmoja na huo mlo mmoja hawashibi. Watoto wa shule wanashindwa kwenda shule shauri ya njaa, pia wakirudi nyumbani saa 6 wanalala inje ya nyumba shauri ya njaa kali ndani hamna kitu na wazazi wao hawapo wamekwenda kutafuta vibarua, wengine wanazirahi.

2. Umasikini wa kipato.
Wanaumaskini mkubwa wa kipato wachilia mbali njaa inayowakabili, hawana zao lolote la maana la biashara,ajira wanayoitegemea ingalao kupata kipato ili kutatua matatizo yao ni ombaomba kwenye treni, na biashara za ovyoovyo kwenye treni yakati biashara kama kuuza ujugu, vikapo , vindege, vifilimbi vya miti, ukwaju na ubuyu, ni vibiashara vya kijinga jinga tu, vijana wengi wamekimbia jimbo wasichana kwa wavulana wameenda kutafuta ajira mjini na wengine wameenda kutafuta vibarua vya kulima tumbaku katika vijiji kata ya Igwisi urambo.

3. Ukame mkali.

Kuna ukame wa hali ya juu, ukame unawakabili watu na mifugo, mifugo kuanzia vijiji vya Kintinku, Igose, Makutupora Kirimatinde Salanda, Ulyampiti, Msigili hadi Sherui mifugo wanakunywa mgwao, yaani wanakunywa leo siku inayofuata hawanywi maji.Maji yenyewe wanayapata kwa kuesea kwa kutumia Nkosi,wanadamka usiku kwenda kwenye visima walivyochimba wenyewe ili kuchotelea maji kwa kutumia nkosi na kujaza mrambo ili mchana mifugo waje wanywe, kazi hiyo ni ngumu sana inawafanya vijana wengi kukimbia makazi yao au kuwa ni ajira kwa wenye uwezo, mtu unafanya kazi hiyo ngumu halafu anaishia kupewa chakula tu jioni.

4. Wizi wa mifugo.

Kuna wizi wa mifugo wa hali ya juu, hii ni kutokana na njaa kali, mifugo inaibiwa nyumbani usiku au mchungaji ananyang`anywa mchana kweupe machungani, mifugo inaibiwa kiasi kuna tishio la mifugo kwisha kwa wizi, wengine huiba mbuzi na kwenda kuchinja polini na kuishia kula nyama shauri ya njaa.

5. Magonjwa:

Tunakabiliwa na magonjwa ya kuambikiza, magonjwa yanayotusumbua ni Malaria na kichocho, malaria inatusumbua kwa ajili ya joto hapa jimboni kwa Mwigulu ni bonde la ufa yaani ardhi imetitia chini hivyo joto kweli usiku na mbu ni wengi , kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya kama zahanati na vituo vya afya hamana dawa mseto kuna paracetamo tu, pia uwezo wa kukata bima ya afya hatuna kwa sababu ya umasikini wa kipato, Kichocho kinasumbua sana hasa wanafunzi ,shule kama Ulyampiti karibu wanafunzi wote wana kichocho dawa ya Parazenguantel hamana katika vituo vyote hadi hospitali ya mkoa ya Singida, halafu dawa yenyewe ni ghali.
Ushauri kwa Mbunge wa Mwigulu
Aje akae jimboni ili waweze kusaidiana kukabili matatizo haya , huko unakozurula kwani ndiko walio mchagua? Aache kuhangaika na LEMA kwani mbunge huyo hamwezi wanaweza wenyewe waliomchagua. Kupenda ni sehemu ya uhai , kumeambatana na uhai kupenda hakuwezi kwisha mpaka uhai umetoweka kwa hiyo kama Arusha wanampenda mbunge wao Mwigulu hata ufanyeje unajisumbua tu njoo jimboni utusaidie wapiga kura wako tunakwisha. Huyo LEMA unayempiga vita yeye anawapigania wapiga kura wake hadi saa ingine bungeni haendi hadi anafungwa jela mahabusu wewe Mwigulu unazurula tu unatusahau,

Kama mbunge una uwezo kutusaidia kupata dawa hasa za kichocho, kulobe chakula kije jimboni ingalao tutanua, Kwenye jimbo la Tundu Lisu mashuleni wanafunzi wanapata mlo wa mchana kupitia Pragram ya WFP, Mbunge wetu Mwigulu yuko wapi na sisi tupate mpango huu. Njoo tusaidiane kuandaa mkakati wa kukabiliana na wizi wa mifugo, njoo tujipange tuweze kukata bima za afya kwa watendaji wa kata ingalao zituwezeshe kupata matibabu hata hayo kiduchu.

Mbunge wetu Mwigulu njoo jimboni sisi wapiga kura wako tunakulilia kwani hiyo jeuri uliyopewa na Rais kwamba wewe unakabiliana na wapinzani hukimbilii polisi isikuvimbishe kichwa kiasi unasahau wajibu wako.
ECONOMIST DARAJA LA I, HAWAJUA MAANA YA MCHUMI AU?
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
Hebu waambieni watulie. Mheshimiwa yuko bize na mikanda mipya ya ugaidi.
 
RabidDog

RabidDog

Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
61
Likes
36
Points
25
RabidDog

RabidDog

Member
Joined Mar 4, 2012
61 36 25
Chicco Chikaya (Chicco) Nafikiri ujumbe hujaelewa vizuri..... please go back read between the line! It is very clear Mwigulu, please come back home (Iramba) we have more serious issues to address at home!
Blayi wa Mpwapwa, sio rahisi wakuelewe ila time will tell
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Likes
57
Points
45
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 57 45
Chicco Chikaya (Chicco) Nafikiri ujumbe hujaelewa vizuri..... please go back read between the line! It is very clear Mwigulu, please come back home (Iramba) we have more serious issues to address at home!
Blayi wa Mpwapwa, sio rahisi wakuelewe ila time will tell
sorry kama sijamwelewa but kwa akili ndogo tu huwezi kumlalamikia mbunge kwa natural majanga!!!eti coz haendi jimboni kuna ukame!!!kama angesema may be miundombinu mibovu wanataka kumweleza afikishe kilio chao serikalini hapo sawa sasa mvua haijanyesha mbunge akienda jimboni ndio itanyesha?
 
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,448
Likes
54
Points
145
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,448 54 145
Mwigulu atawajibu musa si mrefu,ana atakuwa na majibu yote kikubwa ni kumuangalia machoni na kwenye mdomo utajua anayosema ni kweli tupu,tupu kabisa kwani mkanda wa Lwakatare bado tunao na tutatoa ushahidi popote pale hata ikibidi mbinguni
 
E

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
1,977
Likes
917
Points
280
E

ebaeban

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
1,977 917 280
kuna watu mnapenda kujifariji?hivi wewe unapafahamu iramba au umeamua tu kuja kufurahisha jukwaa?anyway,sema huo ----- tuseme ni kweli,nchemba akibaki iramba ndio mvua itanyesha?atagawa pesa kumaliza umaskini wa kila mpiga kura?atamaliza ukame?don't tell me majimbo yote wanayoongoza upinzani mvua zinanyesha za kumwaga,hakuna ukame,hakuna njaa,hakuna magonjwa maisha tambarare kama mbinguni!!!!watu dizaini yenu ndio mnafanya upinzani wanadharaulika.hapo kwa akili yako ndogo unajiona umemuharibiaaaa nchemba!!!
Wewe Chicco ndio the most stupid creature kwa leo yaani hujamwelewa blayi?japokuwa kakosea jina la jimbo ni IRAMBA magharibi lakini bado vijiji kama Ulyampiti, misigiri na sherui ndo hukohuko. blayi means Mwigulu is busy with other things somewhere while their is serious issues waiting him at home, Huko Arusha aliko-concentrate wako well of kuliko kwao, pia blayi anamasa Mwigulu kwamba Lema atamweza wapi wakati hata mkuu wa kaya amemshindwa?
chicco jitambue.
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,844
Likes
3,394
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,844 3,394 280
sorry kama sijamwelewa but kwa akili ndogo tu huwezi kumlalamikia mbunge kwa natural majanga!!!eti coz haendi jimboni kuna ukame!!!kama angesema may be miundombinu mibovu wanataka kumweleza afikishe kilio chao serikalini hapo sawa sasa mvua haijanyesha mbunge akienda jimboni ndio itanyesha?

Ktk kilimo sio lazima wakulima wategemee mvua vipo vyanzo vingine vya kumwagilia mazao kama mito/chem chem vyote hivi ni vyanzo vya maji.Tatizo lililopo ni jinsi gani maji haya yatatolewa ktk chanzo chake na kusambazwa maeneo mengine ili kuwanufaisha wengi.Miradi kama hii inayohitaji fedha nyingi ni ngumu kutekelezwa na wananchi-wakulima(wa jembe la mkono),wanahitaji nguvu kutoka Serikalini na wao kuchangia kwa mwisho wa uwezo wao.Sio wakulima wote wanaweza kufanana kwa mawazo/kipato na mengine ya kufanana na hayo.
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,473
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,473 280
ndio wakome kuchagua vituko kuwawakilisha
 
D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
460
Likes
31
Points
45
Age
29
D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
460 31 45
Jimbo la Singida magharibi mbunge mohamedi misanga
iramba mashariki mwigulu
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu,
Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo yao kwani shida zimewakaba hadi shingoni. Wanamstaajabu mbunge wao ambae wakati rais wake anachanja mbuga duniani yeye mbunge anachanja mbuga inchini akiwawakilisha wanainchi ambao hawakumchagua akiwaacha wao katikati ya lindi la matatizo. Nimepita jimboni mwa huyo mbunge wapiga kura wake wakanieleza yafuatayo kwa mdomo wao:-
Shida zinazowakabili-

1. Njaa kali.
Wana uhaba mkubwa wa chakula mvua zilikuwa haba sana ukitilia maanani wenywe wako kwenye bonde la ufa inabidi kupata mvua za kutosha ili wavune mtama (lugugu) wacha mahindi, kwa hiyo wanauhaba mkubwa wa chakula familia nyingi karibu % 90 katika jimbo la Mwigulu wanakula mlo mmoja na huo mlo mmoja hawashibi. Watoto wa shule wanashindwa kwenda shule shauri ya njaa, pia wakirudi nyumbani saa 6 wanalala inje ya nyumba shauri ya njaa kali ndani hamna kitu na wazazi wao hawapo wamekwenda kutafuta vibarua, wengine wanazirahi.

2. Umasikini wa kipato.
Wanaumaskini mkubwa wa kipato wachilia mbali njaa inayowakabili, hawana zao lolote la maana la biashara,ajira wanayoitegemea ingalao kupata kipato ili kutatua matatizo yao ni ombaomba kwenye treni, na biashara za ovyoovyo kwenye treni yakati biashara kama kuuza ujugu, vikapo , vindege, vifilimbi vya miti, ukwaju na ubuyu, ni vibiashara vya kijinga jinga tu, vijana wengi wamekimbia jimbo wasichana kwa wavulana wameenda kutafuta ajira mjini na wengine wameenda kutafuta vibarua vya kulima tumbaku katika vijiji kata ya Igwisi urambo.

3. Ukame mkali.

Kuna ukame wa hali ya juu, ukame unawakabili watu na mifugo, mifugo kuanzia vijiji vya Kintinku, Igose, Makutupora Kirimatinde Salanda, Ulyampiti, Msigili hadi Sherui mifugo wanakunywa mgwao, yaani wanakunywa leo siku inayofuata hawanywi maji.Maji yenyewe wanayapata kwa kuesea kwa kutumia Nkosi,wanadamka usiku kwenda kwenye visima walivyochimba wenyewe ili kuchotelea maji kwa kutumia nkosi na kujaza mrambo ili mchana mifugo waje wanywe, kazi hiyo ni ngumu sana inawafanya vijana wengi kukimbia makazi yao au kuwa ni ajira kwa wenye uwezo, mtu unafanya kazi hiyo ngumu halafu anaishia kupewa chakula tu jioni.

4. Wizi wa mifugo.

Kuna wizi wa mifugo wa hali ya juu, hii ni kutokana na njaa kali, mifugo inaibiwa nyumbani usiku au mchungaji ananyang`anywa mchana kweupe machungani, mifugo inaibiwa kiasi kuna tishio la mifugo kwisha kwa wizi, wengine huiba mbuzi na kwenda kuchinja polini na kuishia kula nyama shauri ya njaa.

5. Magonjwa:

Tunakabiliwa na magonjwa ya kuambikiza, magonjwa yanayotusumbua ni Malaria na kichocho, malaria inatusumbua kwa ajili ya joto hapa jimboni kwa Mwigulu ni bonde la ufa yaani ardhi imetitia chini hivyo joto kweli usiku na mbu ni wengi , kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya kama zahanati na vituo vya afya hamana dawa mseto kuna paracetamo tu, pia uwezo wa kukata bima ya afya hatuna kwa sababu ya umasikini wa kipato, Kichocho kinasumbua sana hasa wanafunzi ,shule kama Ulyampiti karibu wanafunzi wote wana kichocho dawa ya Parazenguantel hamana katika vituo vyote hadi hospitali ya mkoa ya Singida, halafu dawa yenyewe ni ghali.
Ushauri kwa Mbunge wa Mwigulu
Aje akae jimboni ili waweze kusaidiana kukabili matatizo haya , huko unakozurula kwani ndiko walio mchagua? Aache kuhangaika na LEMA kwani mbunge huyo hamwezi wanaweza wenyewe waliomchagua. Kupenda ni sehemu ya uhai , kumeambatana na uhai kupenda hakuwezi kwisha mpaka uhai umetoweka kwa hiyo kama Arusha wanampenda mbunge wao Mwigulu hata ufanyeje unajisumbua tu njoo jimboni utusaidie wapiga kura wako tunakwisha. Huyo LEMA unayempiga vita yeye anawapigania wapiga kura wake hadi saa ingine bungeni haendi hadi anafungwa jela mahabusu wewe Mwigulu unazurula tu unatusahau,

Kama mbunge una uwezo kutusaidia kupata dawa hasa za kichocho, kulobe chakula kije jimboni ingalao tutanua, Kwenye jimbo la Tundu Lisu mashuleni wanafunzi wanapata mlo wa mchana kupitia Pragram ya WFP, Mbunge wetu Mwigulu yuko wapi na sisi tupate mpango huu. Njoo tusaidiane kuandaa mkakati wa kukabiliana na wizi wa mifugo, njoo tujipange tuweze kukata bima za afya kwa watendaji wa kata ingalao zituwezeshe kupata matibabu hata hayo kiduchu.

Mbunge wetu Mwigulu njoo jimboni sisi wapiga kura wako tunakulilia kwani hiyo jeuri uliyopewa na Rais kwamba wewe unakabiliana na wapinzani hukimbilii polisi isikuvimbishe kichwa kiasi unasahau wajibu wako.
 
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
4,792
Likes
3,363
Points
280
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
4,792 3,363 280
Just a point of correction; LAMECK MADELU a.k.a MWIGULU NCHEMBA ni mbunge wa IRAMBA WEST na sio SINGIDA WEST!!..

D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
460
Likes
31
Points
45
Age
29
D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
460 31 45
Jimbo la Singida magharibi mbunge mohamedi misanga
iramba magharibi mwigulu

K

Karug

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
334
Likes
12
Points
35
K

Karug

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
334 12 35
sorry kama sijamwelewa but kwa akili ndogo tu huwezi kumlalamikia mbunge kwa natural majanga!!!eti coz haendi jimboni kuna ukame!!!kama angesema may be miundombinu mibovu wanataka kumweleza afikishe kilio chao serikalini hapo sawa sasa mvua haijanyesha mbunge akienda jimboni ndio itanyesha?
Naona sasa umeelewa. Mwandishi nadhani hakusema wananchi wanataka aende jimboni ili mvua inyeshe, bali kutokunyesha mvua wananchi wameshindwa kuzalisha na matokeo yake wanakabiliwa na njaa. Hivyo wanamtaka mbunge wao wakamweleze matatizo yao ili ayafikishe kwa wahusika (serikalini) maana mwisho wa siku ni lazima kilio chao kifike serikalini ambayo ndio yenye wajibu wa kuhakikisha uhai na usalama wa wananchi wake wote! Na wa kuiambia serikali ikasikia ni mbunge wao.
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Likes
57
Points
45
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 57 45
Wewe Chicco ndio the most stupid creature kwa leo yaani hujamwelewa blayi?japokuwa kakosea jina la jimbo ni IRAMBA magharibi lakini bado vijiji kama Ulyampiti, misigiri na sherui ndo hukohuko. blayi means Mwigulu is busy with other things somewhere while their is serious issues waiting him at home, Huko Arusha aliko-concentrate wako well of kuliko kwao, pia blayi anamasa Mwigulu kwamba Lema atamweza wapi wakati hata mkuu wa kaya amemshindwa?
chicco jitambue.
as if mbunge aliyeko arusha ni nchemba peke yake?????wabunge wengi tu wamejenga na kuishi dar wakiwemo wa upinzani hao mnaowaita wabunge wa tanzania!!!!acheni siasa za kitoto au wengine ruhusa kudhurura maana kila siku sijui m4c wapi wankwenda kibao lakini thread kama haziwahusu.to be honest,matatizo yaliyosemwa hapo juu yapo sehemu kubwa ya nchi na sio iramba pekee but coz ni siasa za bongo basi ndio mmepata pa kusemea
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Likes
57
Points
45
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 57 45
Naona sasa umeelewa. Mwandishi nadhani hakusema wananchi wanataka aende jimboni ili mvua inyeshe, bali kutokunyesha mvua wananchi wameshindwa kuzalisha na matokeo yake wanakabiliwa na njaa. Hivyo wanamtaka mbunge wao wakamweleze matatizo yao ili ayafikishe kwa wahusika (serikalini) maana mwisho wa siku ni lazima kilio chao kifike serikalini ambayo ndio yenye wajibu wa kuhakikisha uhai na usalama wa wananchi wake wote! Na wa kuiambia serikali ikasikia ni mbunge wao.
kama hivyo ndivyo tupo pamoja mkuu!!ndio maana nimesema may be sikumwelewa mleta thread.asante kwa kunielewesha.Nchemba popote ulipo tembelea jimbo lako watu wako wanakuhitaji kama wakili wao ukwasemee kwa serikali kuhusu matatizo yao.
 
RabidDog

RabidDog

Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
61
Likes
36
Points
25
RabidDog

RabidDog

Member
Joined Mar 4, 2012
61 36 25
kama hivyo ndivyo tupo pamoja mkuu!!ndio maana nimesema may be sikumwelewa mleta thread.asante kwa kunielewesha.Nchemba popote ulipo tembelea jimbo lako watu wako wanakuhitaji kama wakili wao ukwasemee kwa serikali kuhusu matatizo yao.
Chicco, sasa nafikiri wewe ni muungwana maana message umeipata.............. pale ambapo kuna tatizo mwakilishi wa wananchi namba moja ni mbunge wao!
 
Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416