Tuchunguza kauli za wanasiasa ili tuisaidia police, tuanze na kauli ya nani?


masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
Wadau wasalaam?

Kumewakuwa na kauli tata za viongozi wa vyama vya siasa hapa nchi hasa yanapotokea majanga makubwa yanayotikisa Nchi yetu na kauli hizo hutolewa na viongozi waliopewa dhama ya kuongoza vyama na hata taasisi kubwa hapa nchi.

Katika hali ya kutaka kulisaidia jeshi la police kama tulivyoombwa na IGP mwema ebu tuzirejea kauli za viongozi wetu toka kampeni za uchaguzi mdogo wa kata 26 nchini kote mpka leo ambapo uchaguzi wa kata 4 haukufanyika kwa sababu ya mlipuko uliotokea pale arusha 15/06/2013 naona tukianzia hapo tutapata mwanga na hata picha ya nini kilicho nyuma ya hizi kauli tata za viongozi wetu.

Anza na tukio husika ama mkutano ilipotamkwa hyo kauli na jina huyo kiongozi kwenye mabano,tusitumia akili zaidi na sio msukumo wa vyama.

Mfano: 13/06/2013 maeneo fulani ndugu fulani alitamka kuwa kama usiponichagua mimi kupitia cha B mtakiona cha mtema kuni:

Tusaidiane kumsaidia IGP kama kweli tuna nia njema na Taifa hili najua wengi tutaka kurejea kauli za 2005 ila sio lengo la Uzi huu,basi mwenye lolote asaidie hapa tumechoka kuwawa kwani kama sio baba yako kuna siku atakuja kufa mtoto wako mbele ya mcho yako nausiamini kinachotokea,na yote hayo ni sababu ya kuficha tu kauli za msababishaji wa mlipuko huo.
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,852
Likes
4,710
Points
280
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,852 4,710 280
wadau wasalaam?

Kumewakuwa na kauli tata za viongozi wa vyama vya siasa hapa nchi hasa yanapotokea majanga makubwa yanayotikisa nchi yetu na kauli hizo hutolewa na viongozi waliopewa dhama ya kuongoza vyama na hata taasisi kubwa hapa nchi.

Katika hali ya kutaka kulisaidia jeshi la police kama tulivyoombwa na igp mwema ebu tuzirejea kauli za viongozi wetu toka kampeni za uchaguzi mdogo wa kata 26 nchini kote mpka leo ambapo uchaguzi wa kata 4 haukufanyika kwa sababu ya mlipuko uliotokea pale arusha 15/06/2013 naona tukianzia hapo tutapata mwanga na hata picha ya nini kilicho nyuma ya hizi kauli tata za viongozi wetu.

Anza na tukio husika ama mkutano ilipotamkwa hyo kauli na jina huyo kiongozi kwenye mabano,tusitumia akili zaidi na sio msukumo wa vyama.

Mfano: 13/06/2013 maeneo fulani ndugu fulani alitamka kuwa kama usiponichagua mimi kupitia cha b mtakiona cha mtema kuni:

Tusaidiane kumsaidia igp kama kweli tuna nia njema na taifa hili najua wengi tutaka kurejea kauli za 2005 ila sio lengo la uzi huu,basi mwenye lolote asaidie hapa tumechoka kuwawa kwani kama sio baba yako kuna siku atakuja kufa mtoto wako mbele ya mcho yako nausiamini kinachotokea,na yote hayo ni sababu ya kuficha tu kauli za msababishaji wa mlipuko huo.
hata tufanye nini jeshi la polisi halisaidiki, kwani wao wakifanya mauaji ndo wanapandishwa vyeo. Ukiwapa taarifa za waarifu wanaanza kudeal na wewe, tena wanamweleza mwalifu kuwa alokuchoma ni fulani, tuikatae serikali iiyopo na vyombo vyake vya udhalimu. Tuikatae ccm kwa moyo mmoja hilo ndo suluhisho la matatizo yote hapa nchni
 
D

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Messages
1,766
Likes
3
Points
0
D

duchi

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2012
1,766 3 0
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Abdilah Salim

Abdilah Salim

Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
71
Likes
1
Points
0
Abdilah Salim

Abdilah Salim

Member
Joined Mar 1, 2013
71 1 0
je nikiongoz yup alisema maneno haya,"HELI YA VITA VYENYE KUPGANIA HAKI KULIKO AMANI ISIYO NA USAWA"
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
Mkuu sasa kama hatuna imani na police bs toa njia mbadala kwa sasa hivi ili tuepushe damu isimwagike sababu 2015 sio magomeni kama utatumia dakika 24 kufikia ukitokea mbezi,for the time being tufanyaje kuepusha haya yanayotokea?
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
umesoma na kuelewa mantiki ya Uzi wangu lakni?
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
hayo yalitamkwa arusha kipindi hiki cha kampeni? basi kama yalitamkwa ni sehemu gani na tarehe ngapi koz tunahitaji ushahidi na sio kusingizia ccm wala chadema
 

Forum statistics

Threads 1,273,529
Members 490,428
Posts 30,484,274