Hadi lini hali hii ya manyanyaso kutoka kwa serikali dhalimu itakoma?

John Makori

Member
Dec 20, 2012
7
0
Inasikitisha kuona watu wasio na hatia wanauwawa,polisi wanatumia nguvu kubwa kutawanya watu ambao kimsingi walikuwa hawafanyi fujo,hii inatia shaka pale wananchi watakapoamua kupambana na polisi naamini wataua lkn kamwe hawawezi kuishinda nguvu ya umma! Lazima sauti ya haki itaishinda sauti dhalimu,"YANAYOTOKEA ARUSHA HAKIKA HAYAKUBALIKI"
 
Back
Top Bottom