iddi Simba,MRamba,Mgonja Wako Nje Wala Hatujui Kesi Zitaanza/Kwisha Lini

Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,767
1,526
Mtakumbuka Iddi Simba alifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi hivi karibuni ajabu ya serikali ya CCM wala hakuwekwa ndani wala kupelekwa kituo cha polisi wakati kesi ya uhujumu uchumi moja kwa moja angelikuwa ndani hapa utasema kuwa kuna demokrasia. Wakati yule anayetuliza vurugu zisitokee analala ndani.

Na mtakumbuka kesi ya Aliyekuwa waziri wa fedha katika awamu ya Mkapa yani Mramba na Mgonja. La kujiuliza inakuwaje mpaka leo karibu miaka 8 hakuna chochote kinachoendelea na jamaa wako nje. Wanasubiri mwakani kuwasafisha kuwa Hawana Haitian hio ndio serikali ya Kikwete na chama chake CCM.
 
Angeenda chenge,rostam karamagi na wengine walioiba na sijui kutumia madaraka vibaya..
 
Back
Top Bottom