CCM na CUF huu ndio ujumbe:Nionacho ni kifo cha propaganda za kidini, kikanda na kikabila.


Status
Not open for further replies.
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Hadi sasa watanzania wamethibitisha kuwa nchi hii ilianza na Mungu, inaendelea na Mungu na itamaliza na Mungu.

-Propaganda za ukabila zimeshindwa sana kila upande zimepigwa vita,sasa hivi wazitumiazo jukwaani hawasisimui wala kushawishi tena.Propaganda za ukanda si rafiki tena.Propaganda za kidin ndio zimekufa kifo cha mende.

CDM wamekuwa mahiri wa kuzivunja hizi propaganda na kuishi kwa mifano hai:

-Matukio ya kigaidi yaliyobebeshwa sura ya kidini yamejipambanua na kurudi ktk siasa.Matukio ya kikabila yamejitenga pia, matukio ya kikanda nayo pia.

Mfano mzuri ni suala la mauaji yanayowakuta wafuasi wa CDM wengi waliouwawa ktk harakati ni waumini wa dini ya kiislam.Wameuwawa waislama watoto na watu wazima...Hii ni habari ya kushangaza sana.Wanachama walio mstari wa mbele ktk chama kinachosemwa kuwa ni cha Kikristu na cha ukanda wa Kaskazini ,chama cha kichanga kinatoa mshujaa wengi wakiwa si wachaga, wengi wakiwa waislam watoto na watu wazima.

Hii ni aibu sana kwa CCM na CUF...wanaohubiri habari za uongo uzushi na laana kwa nchi yetu...Shame on them.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,272,653
Members 490,095
Posts 30,456,201