asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
chagonja wamedai kuwashikilia watu watatu kuhusiana na tuhuma za bomu la soweto. ila kuna mdau naye alisema humu jamvini kuwa polisi wanawatesa watu watatu watoe video inayonesha polisi kuwaua raia hapo soweto.
je ukweli ni upi?
je ukweli ni upi?