Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Nilitegemea hawa viongozi wastaafu wangeingilia kati na kuzima uchafu (mauaji) unaofanywa na CCM chini ya Kikwete, lakini kwa bahati mbaya wamekuwa kimya. Rais Mkapa, Mwinyi, Sumaye, Warioba Malechela na Salim, tulitegemea mngekuwa wazalendo mkawaonya wana CCM kuwa na mtazamo tofauti kwa maana dunia imebadilika yaliyotokea Libya yatawakuta wote ! Risasi za polisi hazitaweza kuwaua watanzania millioni 45 au hata kuwalinda wao.
Tulitegemea mngewaonya viongozi wa hii nchi wakiongozi na Kikwete pamoja na maghaidi wakubwa Mwigulu, Nape, Lukuvi na Jangili Kinana kubadilisha mienendo yao kwani wanamwaga damu ya watanzania wasio na hatia. Kwa nini mmejificha nchi ikipasuka? Mnajisikiaje watanzania wakiendelea kufanyiwa vitendo vya kinyama kama hivi vya kurushiwa mabomu? Viongozi wa kidini tunaowategemea kutongoza kiroho nao wametutekeleza. Tufanyeje ?