acha matata
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 165
- 39
Tafadhari wana JF nijuzenu kwa mwenye habari za undani kuhusiana na Mheshimiwa Shibuda na uwepo wake. Ukimya wake unatia wasiwasi na sijui kwasasa yuko mlengo gani ingawa inajulikana ni mwana CHADEMA na ni Mbunge kupitia CHADEMA. Kwahapo nyuma alijipambanua kuwa kwahoja zake kupingana na wenzake ila karibuni amekuwa kimya. Kulikoni?