Mashujaa Watoto na Wanawake:Ushiriki wao ktk mikutano halali ya CDM ni muhimu pamoja na vitisho.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Wana CDM wote: Ili kuweza fanya mikutano ya CDM kuwa salama na kupeleka ujumbe wa amani..Nigeshauri sana watoto na wanawake wawepokadiri wawezavyo.Kwani hadi sasa ndio mashujaa wakuu .Tunajua watoto si haba kwani kwa mtoto CHADEMA ni kitu kipo midomoni na rohoni.

Ni watoto mashujaa na juzi ilidhibitika...pamoja na unyama wa polisi na wapiga mabomu..watoto wa dini zote tena wakiwepo wa kiislam tofauti na propaganda chafu baada ya majukumu ya madrassa walipita kusikiliza yale yaliyotoka kwa wanasiasa wanaopenda kutoka chama wakipendacho sana.

Mchango wa watoto wanachadema miaka ya mbeleni na mashujaa tangu watoto na akina mama na dada wanahitaji kupewa moyo na kuenziwa sana.Leo hii wameuwawa pasipo kufanya shari kwa yeyote.Just because walikwenda wasikiliza watu na chama wakipendandacho.

Kwa watoto waliotoka madrassa "Pongezi kwa maalim/ustaadhi wao " pengine waliwafundisha mema kama si utashi pekee wa watoto hao.Walikwenda sikiliza wanasiasa wanaopenda ,wanasiasa ambao ni role models wao..Ingawa waoga na washenzi wakaamua wanyim ahiyo haki.wakaamua wavurugia ndoto yao waliyokuwa wanaiona kwa wanasiasa hawa.
 
umeandika kwa uchungu sana mkuu ,inauma ila ni jambo la kutia moyo. tofauti na hawa chama cha mauaji(ccm) kusema chadema ni vijana wala viroba.
 
umeandika kwa uchungu sana mkuu ,inauma ila ni jambo la kutia moyo. tofauti na hawa chama cha mauaji(ccm) kusema chadema ni vijana wala viroba.

Mengi yataonekana kwa msaada wa Mungu...ila tunahitaj siku ya kuwakumbuka mashujaa hawa.Watoto si kila mtu anajaliwa...
 
wana cdm wote: Ili kuweza fanya mikutano ya cdm kuwa salama na kupeleka ujumbe wa amani..nigeshauri sana watoto na wanawake wawepokadiri wawezavyo.kwani hadi sasa ndio mashujaa wakuu .tunajua watoto si haba kwani kwa mtoto chadema ni kitu kipo midomoni na rohoni.

Ni watoto mashujaa na juzi ilidhibitika...pamoja na unyama wa polisi na wapiga mabomu..watoto wa dini zote tena wakiwepo wa kiislam tofauti na propaganda chafu baada ya majukumu ya madrassa walipita kusikiliza yale yaliyotoka kwa wanasiasa wanaopenda kutoka chama wakipendacho sana.

Mchango wa watoto wanachadema miaka ya mbeleni na mashujaa tangu watoto na akina mama na dada wanahitaji kupewa moyo na kuenziwa sana.leo hii wameuwawa pasipo kufanya shari kwa yeyote.just because walikwenda wasikiliza watu na chama wakipendandacho.

Kwa watoto waliotoka madrassa "pongezi kwa maalim/ustaadhi wao " pengine waliwafundisha mema kama si utashi pekee wa watoto hao.walikwenda sikiliza wanasiasa wanaopenda ,wanasiasa ambao ni role models wao..ingawa waoga na washenzi wakaamua wanyim ahiyo haki.wakaamua wavurugia ndoto yao waliyokuwa wanaiona kwa wanasiasa hawa.

kaka ustuletee coment zako za kipuuzi wewe ni walewale ndugu zake kna mbowe na lema wasiokuwa na uchungu na kna mama na watoto wa arusha kwa hiyo akan mama wa arusha na watoto waendelee kuuliwa go to hel tumechoka na vurugu za chadema arusha mkafanyie vurugu moshi keys hotel au protea hotel ya mbowe mmearbu utalii arusha unatetea upumbavu maandamno na fujo mkafanyie moshi
 
Ndo umeandika nn? Kaa kimya kuficha ........
 
kaka ustuletee coment zako za kipuuzi wewe ni walewale ndugu zake kna mbowe na lema wasiokuwa na uchungu na kna mama na watoto wa arusha kwa hiyo akan mama wa arusha na watoto waendelee kuuliwa go to hel tumechoka na vurugu za chadema arusha mkafanyie vurugu moshi keys hotel au protea hotel ya mbowe mmearbu utalii arusha unatetea upumbavu maandamno na fujo mkafanyie moshi

Nao wana haki ya kuwepo,kwani siku zote wakienda walilazimishwa au kufanywa chambo?wamekuwepo na walirudi tena ktk kuaga, kwa vile wanajua ukweli kuwa hakuna fujo ktk chadema,ndio maana watoto hujisikia kukaa mbele.

Dunia inajua ccm ni zaidi ya majambazi, wamewafuata raa wasio na hatia...KAMUULIZE JK NA WENGINE KINAWAUMA NINI CDM WAKIFANYA MKUTANO?MBONA WAO WAKIFANYA CDM HATA TIME HAWANA?KWANI WANGESHINDWA FANYA FUJO KM WANGEKUWA CHAMA CHA FUJO?

kwa taarifa yako wanawake na watoto kuwepo sehemu ni ishara ya amani, ni ishara kuwa cdm hawafanyi na hawatafanya fujo mbele ya mama zao, dada zao, na hata wake na watoto wao..Nani atakuwa tayari umiza watoto na wanawake zaidi ya CCM?

Hii ndiyo CCM iliyobarikiwa pale "..Saigon...".iliyopata udhamini wa maagano ya kuzimu kwa hawa wazee "wanaiitwa wa dar" kwa wazee wao " wa makafara".
 
I salute you Amir,kamanda wetu mdogo uliyelala huku masikio yako yakisikiliza wimbo ulioupenda,wimbo wa ukombozi,macho yako yakitazama harakati za ukombozi,akili zako zikijifunza kutetea haki toka kwa makamanda wa ukombozi,mguu wako ukiwa umetoka madrassa,kujenga roho ya ukombozi!damu yako itageuka mbegu ya ukombozi,i salute you mkombozi!i salute you Amir Mtoi!
 
Chadema mnapanda cheo sana wala msikate tamaaa... Ongezeni bidii na kasi yenu iwe zaidi ya kasi ya ajabu, ari nyepesi na na nguvu inayozi cuf na ccm
 
Kila sekunde kuna kitu kinazidisha chuki dhidi ya serikali na CCM kwa ujumla.Habari za vifo vya watoto tena waliotoka madrassa wakajongea kuwaona wanasiasa wanaowapenda sana na sasa kwa nadra wapo arusha, tayari zimeshawaamsha waislam jijini Arusha.Sasa hivi wamekuwa kitu kimoja na CDM wana machungu, wanailaani CCM .Wanaona wazi kuwa sasa CCM inawatumia harisa inapanda kuna uwezekano CCM ikaanza poteza hata madiwani waliopo kwa kujiuzulu km mawazo.
 
10.jpg

Imagine CDM wangekuwa na mioyo ya woga kwa uovu km CCM waje shambulia watoto km hawa?

CCM sijui wan ajibu gani hapa?kwanini waone wivu mkutano wa CDM wakati CDM hawasumbuki na wao?Si kwamba kwa vile wana dola ndio kusema kuwa wanashindikana kuuwawa....la hasha.Ni kwavile upande mwingine wanaheshimu haki za raia na vyama vinigine.
 
Nimefurahi kwani hata kabla sijamwambi mtu naichuia CCM mwanangu mdogo kaona tuu picture ya CCM ktk hii thread akasema anavyoichukia CCM..kumbe sihitaji hata kuwachi laana asikae ajihusishe kwa njia yoyote na CCM.
 
Back
Top Bottom