Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapendwa nina imani kabisa haya mauaji kama Arusha na kwengineko ni kitu kilichopangwa,kama sio chama tawala basi ni asasi iliyo na maslahi na serikali iliyopo madarakani ili wawaaminishe wananchi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Soma kwa makini na nanukuu (neno kwa neno) gazeti la Mwananchi toleo Na: 4741; Jumanne, Juni 18 2013 ukurasa wa 4; Majeruhi Mwengine Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39) aliyelazwa katika...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
Mkuu wa Operesheni ya polisi Chagonja amesema kwamba Polisi hawana "ROHO MBAYA NA YA KIKATILI" kama Mtawala wa zamani Adolf Hitla ,ila wanachofanya ni kulinda Raia na mali zao. Source: Radio free...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka...
10 Reactions
179 Replies
15K Views
Kesi ya kuhujumu uchumi na kuisababishia UDA hasara ya Sh. bilioni 8.4 dhidi ya waziri wa zamani Iddi Simba na wenzake imefutwa kwa amri ya DPP. My Take: Nikiangalia jinsi kesi ilivyokuwa na...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
My take kwa uchunguzi wa bomu hili unavyoendelea; Uchunguzi huu unazunguka tu wagonjwa na viongozi wa chadema Hii ni dalili kubwa kwamba huu sio uchunguzi bali ni jitihada za kuficha uhalifu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Most fundamentally, parties organize and orient the public by focusing people on issues and motivating them to vote. They provide structure to what would otherwise be a disorganized and chaotic...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Nina ombi ama rai ambayo ningependa ifanyiwe utafiti na ikiwezekana iwekwe kwenye historia ya mapambano yetu ya ukombozi. Ninapendekeza CHADEMA iweke siku maalum kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo karibu na uwanja wa Soweto ambapo Polisi wameuzunguka huku katikati mwa uwanja kukiwa na magari mawili ya matangazo ya CDM na Hema pamoja na viti. Polisi ni wengi kuliko kawaida na wapo na...
6 Reactions
136 Replies
11K Views
  • Closed
Viongozi wa CHADEMA mwenyekiti Mbowe na mbunge wa Arusha mjini Mh. Lema wanahojiwa hapa polisi Arusha. WanaJF, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo Mh. Mbowe na Lema walienda polisi...
7 Reactions
281 Replies
19K Views
Ndg, wanabodi, Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea. Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi...
4 Reactions
87 Replies
8K Views
Toka utawala wa Nyerere hadi Mkapa, utawala wa Mh Rais kikwete ni wa ajabu na hajali masuala ambayo ni mhimu kuyatolea maamzi kupitia hotuba zake lakini huenda rais wetu huacha kufanya hivo kwa...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Haja ya mja hunena Muungwana ni Kitendo; wahenga walinena, sioni kama itaingia akilini kama hali hii tayari imejitokeza. Ukipata nafasi waite CHADEMA huko utapata kuwakanya kwa nguvu zote ikiwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, kimekanusha kauli zinazotolewa na baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani, wanaodai chama hicho hivi sasa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndani ya gazeti hili uk wa 3 kuna habari hii ila naomba tuone maneno haya kama CCM wanalakusema " katika uchaguzi wa jumapili, chadema kimepata asilimia 27.27, huku ccm wakipata asilimia 72.73...
1 Reactions
8 Replies
23K Views
Hivi ndugu zangu wa tanganyika enough is enough mpaka lini tutaendelea kunyanyasika na hii serikali ya ccm? Nadhani wakati umefika inabidi tuamke nasisitiza kuamke ndugu zangu tuweke uoga pembeni...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Just over a fortnight ago, Jakaya Kikwete, President of Tanzania, kicked off a firestorm of controversy with what many in Rwanda and outside of it saw as a terrible faux pas. It started with what...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nAWAOMBA WABUNGE WA CHADEMA WATAKAPORUDI BUNGENI BAADA YA KUWAZIKA WAPENDWA WETU, WAWASHE MOTo mkali bungeni hata ikibdid bunge liishe kabla ya muda wake. Haiwezekani watu wanatuua halafu hawa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
***MTAZAMO WANGU JUU YA MACHAFUKO JIJINI ARUSHA*** Martin Luther King aliwahi kusema... "To know the enemy is half the victory"; yaani "Kumfahamu adui ni nusu ya kushinda vita" Kwahiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom