Kitu chenye ncha kali & kishindo

Kitu chenye ncha kali & kishindo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,556
Reaction score
423
labda nijitambulishe kwa mara ya pili mkuu rombo

aiseeee babayangu sisi watu wa mkuu rombo tumekaa chini na kutafakari kwa kina sana kuhusu hiki kitu chenye ncha kali na kitu chenye kishindo kikubwa tunashindwa kukielewa hasa ni kitu cha aina gani hilo la kwanza
pili waziri mkuu ametowa taarifa kuwa ni bomu mweshimiwa lukuvi pamoja na nape wanasema ni kitu chenye kishindo na ncha kaili
hiyo basi sisi watu wa rombo tunaomba ufafanuzi kwa wale wenye kujua hiyo vitu maana vinatumaliza hasahasi kitu chenye ncha kali atujuze sisi watu wa mkuu rombo

salamu nyingi watu wa dar na arusha
 
wasiliana na ludovick lwezaura atakupa namba ya rafiki yake aliyeingiza hivyo vitu kutoka china atakuambia ni vitu vya namna gani na kule china vinauzwa bsh ngapi?
 
Nakumbuka karibuni Mwigulu alisema alikuea na ziara ya kichama China halafu na bomu limetengenezwa China. Kwa wenzangu waliosoma logic True and True implies True
 
Nakumbuka karibuni Mwigulu alisema alikuea na ziara ya kichama China halafu na bomu limetengenezwa China. Kwa wenzangu waliosoma logic True and True implies True

mwigulu anajua .....
 
aiseeee babayangu serekari ya chichiemu wako bize kukabiliana na chadema huku mipaka yetu inabaki wazi wau wanatuingizia mapaka mabomu serekali ya kiabunuasi hiii
 
Back
Top Bottom