Zingatia Ushauri huu wa kisheria

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
563
433
Usilitaje jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye meseji za utani au vichekesho ambavyo lengo lake ni kuchekesha tu, isipokuwa kwa taarifa ambazo una uhakika nazo na zimethibitishwa na mamlaka husika, kinyume na hapo ni kosa kisheria, na unaweza kushitakiwa na Jamhuri, Unaweza kutozwa faini ya Tshs milioni 5 au kifungo cha miaka mi3 mpaka mi5 jela.

Na ujumbe kama wa utani unapotumwa Admin wa group au wa mtandao uliotumia anapaswa kuuripoti kwa mamlaka husika la sivyo na yeye atahukumiwa kama mshiriki, au kama kuna mwanasheria humu nae atapaswa kuripoti
Sio kila unachokiona kinafaa kusambazwa.




I think message Sent and Delivery.
 
Back
Top Bottom