Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani?

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Habari ...
Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
 
Mwenye Mwenye kujua zaidi aseme je wakina wadada wanaowatelekeza watoto wao wa umri wa 3yrs kwa wa zamani sheria ikoje
 
Back
Top Bottom