Heko mzee Mwinyi kuzitaka mahakama zitende haki

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi amezitaka Mahakama zetu kutoingiliwa na vyombo vingine badala take Zitende Haki bila kuonea. Mzee Mwinyi amesema hayo baada ya kuona Chombo muhimu kama Mahakama kinapaswa kuheshimiwa na kutoingiliwa ili kiweze kutoa haki.

Tunampongeza sana Mh.Rais Mstaafu Mzee Mwinyi
 
Back
Top Bottom