Bahati lucky
Member
- Jan 22, 2017
- 16
- 13
Nina mdogo wangu aliazma pesa kwa jamaa mmoja maajabu muda wa kurudisha akaombwa riba, na makubaliano yao ni kuazma kawaida bila riba maana mtoa pesa hajasajiriwa na mamlaka husika na hatambiliki kama mfanya biashara wa kukopesa pesa,
Hapo sheria ina mbeba yupi maana mdai anasema lazma amshughulikie kisheria na mdaiwa anasema yuko tayar ila hatoi riba.
Hapo sheria ina mbeba yupi maana mdai anasema lazma amshughulikie kisheria na mdaiwa anasema yuko tayar ila hatoi riba.