Je watuhumiwa wa Madawa ya kulevya ambao wataonekana hawana hatia nani atawalipa fidia?

fidia italipa serikal maana hiyo kesi ya republic so makonda anaweza kusimama kama shahidi tu
Ok atasimama kama shaidi vp kama jamhuri ikishindwa?wakihitaj kuombwa msamaha kwa kuchafuliwa majina yao nan ataomba msamaha ni makonda au jamhuri?,
 
Ok atasimama kama shaidi vp kama jamhuri ikishindwa?wakihitaj kuombwa msamaha kwa kuchafuliwa majina yao nan ataomba msamaha ni makonda au jamhuri?,

Mimi nimeshangaa sana niliposikia IGP anasema askari 12 wamesimamishwa kazi upelelezi au uchunguzi unaendelea ili kubaini kama TUHUMA hizo zina ukweli!!!!
Nilipomwona Makonda anarap kuwa kawakamata Mapolisi na Wasanii nilijua kuwa ANAUSHAHIDI USIO TILIWA SHAKA! Kumbe ni tuhuma.

Kitakachotokea ni hiki: IGP na ACP Cirro hawakubali KUCHAFULIWA na huyu RC Bwana Makonda lazima watafanya kila linalowezekana ili kujisafisha!! Yale madawa ya kulevya yatageuzwa kuwa UNGA NGANO au SEMBE! Ndipo Makonda atakapojua kuwa POLISI si watu wa kuchezeachezea!Baada ya kukosa ushahidi hawa askari wataenda Mahakamani na kudai FIDIA ya kuchafuliwa na lazima RC atawalipa!!!
Huwezi kuwatuhumu watu wanaokulinda masaa 24 ili kutaka kujipatia umaarufu kwa Rais!!!
 
lazima serikali ndo italipa mtonyo huo hata kama itakuwa ni trillion mia kwasababu katika sheria ishu kama hiyo ni defamation hivyo liability itakuwa vicarious liability hii inakuwa mwajiri huhusika na uchafu wowote atakao fanya kijakazi wake ndani ya majukumu aliyopewa na mwajiri
 
Kesi kama hizi ni ngumu sana kwa sababu lazima anaye mshitaki athibitishe bila kuacha shaka yoyoye,(beyond reasonable doubt) lakini kama hakuna ushaidi wa kutosha lazima watuhumiwa watashinda na serikali italazimika kuwalipa kwa kosa la udharirishaji au kuwashushia heshima yao (defamation)
 
Back
Top Bottom