KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,202
- 69,276
Ufafanuzi hapo wakuu kama serikali haitakiwi kuingilia maamuzi ya mahakama mbona kuna msamaha wa rais kwa wafungwa..?
Kama mahakama ndio inayohukumu, kwanini rais apewe jukumu la kutoa msamaha?
Je, jambo hili lina usiasa ndani yake?
Mnakaribiswa kwa ufafanuzi..
Kama mahakama ndio inayohukumu, kwanini rais apewe jukumu la kutoa msamaha?
Je, jambo hili lina usiasa ndani yake?
Mnakaribiswa kwa ufafanuzi..