cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita kuna idadi ya kesi nyingi sana zimeanzishwa mahakamai nadhani kuliko kipindi chote since Independence,
kama sasa na hawa mashoga nao watakamatwa na watapandishwa kizimbani wajieleze kuhusu ushoga huo,na ni watumie pesa zetu endapo kwa process nzima ya kesi mpaka kufungwa wakikutwa gulty waendelee kula pesa zetu,
sijui kama kila issue ni lazima ipelekwe mahakamani maoni yangu ni kwa viongozi kutumia busara na issue zingine ziwe zinaishia polisi au kwenye mabaraza ya wazee,au kwenye serikali za vijiji au za mitaaa
kwa sasa kila siku unasikia fulani kapandishwa mahakamani fulani kapandishwa mahakamani
sidhani hata hao majaji watakua na ufanisi kiasi kinacho tarajiwa