Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

ZIFAHAM SHERIA ZAKO ZA MSINGI UKIKUTANA POLISI USINYANYASWE FANYA HAYA UWAPO MIKONONI MWA POLISI IMEANDALIWA NA MAWAKILI. 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako...
5 Reactions
13 Replies
46K Views
Hakika nimekuwa nafuatilia utendaji Kazi wa Majaji, Mahakimu Na Wanasheria wetu wa kila siku. Watu hao Kwa pamoja waliapa Kwa Mwenyezi Mungu kuwa Watatenda haki bila upendeleo Na uonevu. Naamini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani,,nilikuwa unafanya kazi ktk sekta ya utaliii,,kwenye restaurant Fulani ya mwekezaji kwa miezi 6..naaingia asbuhi saaa tano mpaka saaa tano usiku,,,no malipo muda wa ziada...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye mikataba tuliyosaini sisi watumishi wa serikali,kuna kipengele kinasema you shall be entitled to annual increment every July, swali langu ni kwamba mpaka sasa hatujaongezwa mishahara mpaka...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Mm nilikamatwa na jeshi la polisi taree10-01-2017 mnamomajila ya saamojausikunikiwa nyumbani kwangu walikuwa wanawakimbiza wavuta bangi kwa bahati mbaya na mm nilikimbia pasipokujua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jamii forum, jukwaa la sheria nauliza lini sheria inakubaliwa kutungwa leo na kutumiwa kuhukumu matukio yaliyopita. Nauliza kwa sababu siku za nyuma nilikuwa nimeajiriwa na shirika moja la...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baba yangu alifariki miaka 10 iliyopita na wakati wa uhai wake alikuwa na wake wawili. Kwa bahati mbaya mke wa pili hakubahatika kupata mtoto. Kabla ya kifo aliniita mimi na mama mdogo (mke wa...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
MTAMBUZI, NAOMBA KAMA UPO UWEZEKANO TULETEE ILE KESI YA YULE MAMA WA BAGAMOYO ALIYEMUUA KISHA KUMTUMBUKIZA KISIMANI MUME WAKE, ALIHUKUMIWA KIFO LAKINI KABLA YA UTEKELEZWAJI WA HUKUMU INASEMEKANA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sheria inasemaje kama yafuatayo yakitokea? 1. Rais akichanganyikiwa au akiugua kichaa akiwa madarakani. * je, maagizo yenye utata yataendelea kusimama kama maagizo halali ya rais? * Nani...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna aina ngapi za ujibuji maswali uwapo chini ya sheria? (Mfano uwapo mahakamani au kwenye mabaraza ya kata)
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari za week end wakuu, naomba msaada nilitaka kufahamu, ikiwa unataka kununua kiwanja kwa maandishi ya serikali za mtaa, je anayetakiwa kulipia garama hizo ni mnunuzi au muuzaji wa kiwanja na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waungwana naomba mwenye traffic road act aniwekee hapa tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Anaomba ushauri wa kisheria; bwana Yesaya alifunga ndoa na mwanadada Iren miaka 4 iliyopita, ndoa yao ilidumu kwa miaka 2 tu kisha mwanamke akaondoka baada ya kutoridhiswa na tabia za mumewe...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
ninahitaji kufahamu kama kuna sheria inayoweza kumfunga mtu aliyemdharirisha ndugu yake wa damu kwa kufanya nae mapenzi. Kuna mtoto wa kike wa shangazi yangu(umri 19) alikuwa anakaa na kaka yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wa kisheria, nataka kuachana na mke wangu. Habarini za weekend magwiji wa sheria. Mimi ninaishi na mke wangu (bila ndoa kwani ni dini tofauti) kwa takribani miaka 4. Huyu binti sikuwahi...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa kutumia jicho la ki-layman naona kesi ya My. Lema ya kawaida sana, sio kesi ambayo Lema akipewa dhamana either atahatarisha maisha yake au ya mtu mwingine yeyote. Swali ninalojiuliza Kwa kesi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umezuka mjadala kua danadana ya dhamana ya lema nikuvuta muda ili muda uende na ifike miezi mitatu ubunge wake utenguliwe nikweli hii??
1 Reactions
9 Replies
2K Views
.......v
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom