Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za jioni wanasheria !!
Ndugu wanajukwaa nimekuja kwenu naamini hapa nitapata msaada,Nina ndugu yangu ambaye mume wake ametangulia mbele ya haki,Enzi za uhai wake marehemu alijaliwa kuwa na...
Kuna ndugu yangu wa kike kampiga mpangaji mwenzie wa kiume na kumjeruhi na mawe.
Sababu za ugomvi wao ni kurushiana maneno ya maudhi na ndipo huyo mdogo wangu alipokasirika na kumrushia mawe...
Ndugu wanaJF,
Rafiki yangu mmoja kanipa taarifa kua jana usiku walikamatwa na Police Keys Pub Kimara kwa kuwa bar baada ya saa sita usiku na leo wamepelekwa mahakamani Mbezi mwisho.
Nijuavyo...
Habari
Naomba msaada wa kisheria nimetishiwa na boss wangu kupigwa bastola pindi tukizinguana na mara nyingine amesha zipiga mara kadhaa lakini amekua akiokota maganda lakini nimebahatika kuokota...
Serikali imetangaza kusimamisha kupokea wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kwa makundi, kutokana na kutokuwepo kwa sababu za kiusalama, zinazowafanya wakimbizi hao kukimbia nchi zao na kuomba...
Serikali imetangaza kusimamisha kupokea wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kwa makundi, kutokana na kutokuwepo kwa sababu za kiusalama, zinazowafanya wakimbizi hao kukimbia nchi zao na kuomba...
habarini wana jm, mimi ni kijana mjasiliamali na nnajiendeleza na elimu ya juu (shahada ya kwanza), naishi ubungo kutokana na mkataba wa kupanga miezi sita iliisha alhamisi ya tar19, japo...
Mke wangu ameondoka na ameenda mahakamani anadai talaka tuachane na pia ameshafungua kesi anadai tugawane mali tulizo chuma wote nyumba mbili kiwanja kimoja na vitu vya ndani na hapa tulipo tayati...
Mimi nimezaa na Dada mmoja ambaye tulikuwa kwenye mahusiano ya muda baadae tukaachana, kwa saa kila mtu anaendelea na maisha yake.
shida iliyopo ni kuwa huyu mzazi mwenzangu hataki nimchukue...
Terehe 1/1/2017 saa sita usiku nilipigwa mapanga na jirani yangu sababu tulikuwa tunasherekea mwaka mpya. Mtuumiwa baada ya kunijeruhi alikimbilia kwa mwenyekiti na kuripoti amevamiwa kitu...
Habarini wa JF? Mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi mwezi wa tano sasa ila kumekuwa na kutokuwa na maelewano mazuri kiutendaji na waajiri wangu wawili ila mmoja ni muelewa sana. imenifanya...
Nimekaa nikajiuliza sana baada ya kuona silaha zinachomwa moto,na mmoja wa polisi akisema bunduki hizi zimekamatwa na nyingine zimerudishwa kwa hiyari na hapo ndio swali likaanzia.
Naomba msaada .
Inatambulia Tanzania kama Taifa haina Dini. Ni nchi isiyoendeshwa kwa dini.
Pia inatambulika vema nchi yetu ina wenye imani tofauti zenye kuamini Mungu na zisizo amini Mungu.
Watu ambao...
Nawashangaa Wanasheria wetu kukaa kimya wakati wananchi wanahangaika kupata tafsiri kisheria Juu ya uteuzi wa Wabunge 6 wanaume uliofanywa Na Mh.Rais.Niliamini wanasheria wetu wangetusaidia...
Wakuu,
Naombeni kujua kama pana sheria zinazoyatambua mabaraza ya ukoo na kimila katika shughuli zake na utekelezaji wa hukumu zake katika jamiii?
Mfano: Bibi kizee ananyanyaswa na mwanae wa...
Wakuu naombeni kujua kama pana sheria zinazoyatambua mabaraza ya ukoo na kimila ktk shughuzi zake na utekelezaji wa hukumu zake katika jamiii ?
Mfano: Bibi kizee ananyanyaswa na mwanae...
Naomba kufahamishwa juu ya kuingilia uhuru wa mahakama na ni nani anahusika kutekeleza kama imezuiwa?
Mfano Mitambo ya Richmond iliuzwa hali ya kuwa iliamriwa iwe chini ya mahakama wakati kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.