Msaada: Nimeshinda kesi nataka kufungua kesi ya madai

Izzi

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
553
1,133
Nilikamatwa na nikashtakiwa kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.Na kesi imeenda mwisho wa siku nmekutwa sina hatia, lakini tayari nilikaa jela kwa wiki moja kama mahabusu.

Je, utaratibu wa kufungua kesi ya madai kwa kudhalilishwa na kupotezewa muda ukoje??

Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom