Mtoto ameumia kwa ajali ya gari kwa kujigonga ubavuni gari imepaki. Bahati mbaya amekufa. Wazazi wanasema hatutaki kesi ni kosa la mtoto. Polisi wamekomaa wanataka wapeleke mahakamani. Je sheria inasemaje wadau
Police wanayo haki kisheria kupeleka hiyo kesi mahakamani. Wao wanachotakiwa kufanya ni kufanya upelelezi wa kilichotokea, ilikuwaje mtoto ambaye siyo 'udongo' ajigonge tu na kufa!?
Lazima wachunguze je huyu mtoto hakugongwa na mwenye gari? Wazazi hawajapewa rushwa kweli kupotezea haki ya uhai wa mtoto!? Na kikubwa zaidi polisi watachunguza kubaini uwepo wa jinai kwenye hicho kifo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa raia na mali zao, hivyo basi si kazi ya mzazi kujifanya eti yeye hataki kesi! HANA MAMLAKA HAYO, HIYO NI KESI YA JAMHURI NA DEREVA WA GARI HUSIKA.
Hivyo basi polisi wakipata ushshidi wanaotaka, wakibaini kuna kesi ya msingi, ngoma inapelekwa Mahakamani. Huko ndipo dereva utaelezea vizuri gari yako huwa unaipaki vipi kiasi kwamba binadamu akijigonga tu anakufa hapohapo.
Dereva yupi wakati gari limepaki??? Nilidhani itakuwa kesi ya Jamhuri Vs Mwenye gari.Police wanayo haki kisheria kupeleka hiyo kesi mahakamani. Wao wanachotakiwa kufanya ni kufanya upelelezi wa kilichotokea, ilikuwaje mtoto ambaye siyo 'udongo' ajigonge tu na kufa!?
Lazima wachunguze je huyu mtoto hakugongwa na mwenye gari? Wazazi hawajapewa rushwa kweli kupotezea haki ya uhai wa mtoto!? Na kikubwa zaidi polisi watachunguza kubaini uwepo wa jinai kwenye hicho kifo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa raia na mali zao, hivyo basi si kazi ya mzazi kujifanya eti yeye hataki kesi! HANA MAMLAKA HAYO, HIYO NI KESI YA JAMHURI NA DEREVA WA GARI HUSIKA.
Hivyo basi polisi wakipata ushshidi wanaotaka, wakibaini kuna kesi ya msingi, ngoma inapelekwa Mahakamani. Huko ndipo dereva utaelezea vizuri gari yako huwa unaipaki vipi kiasi kwamba binadamu akijigonga tu anakufa hapohapo.
Ukikosa Mens rea& Actus Rea katika Scenario yoyote ile ni ngumu ku establish bases ya case theme yako.? Kukiwa na state of mind na Kitendo kilichofanya kosa liwepo ni Easy kuanzisha investigation ya such an offenceMtoto ameumia kwa ajali ya gari kwa kujigonga ubavuni gari imepaki. Bahati mbaya amekufa. Wazazi wanasema hatutaki kesi ni kosa la mtoto. Polisi wamekomaa wanataka wapeleke mahakamani. Je sheria inasemaje wadau
Dereva yupi wakati gari limepaki??? Nilidhani itakuwa kesi ya Jamhuri Vs Mwenye gari.
Kesi za mada zote ni za jamhuri. Hakuna cha kumaliza home.Kama wazazi wa mtoto hawataki kesi iendelee nadhani hata ikienda mahakamani hao wazazi wanaweza kuwithdraw kesi. ( Not sure though)
Lakini pia nafikiri Jamhuri itataka kujua hapo ulipokuwa umepata gari ni salama, panaruhusiwa?
Lakini pia wahusishe insurance ili wakupe legal view Incase hao wazazi wakiamua wanataka fidia.
Watu wengine hamfikiriagi!!Na hisi huyo mtoto ni zombiee na hapo aliishiwa damu akajigonga kwenye gar
Nilitaka kusema hivyo hivyoGari imepaki wapi? Ipo ndani ya geti nyumbani?
Kwa vile natafuta msaada siwezi kuandika uongo!Kama maelezo yako ni kweli basi utashinda kesi...ondoa hofu
kwakuwa mtoto kajigonga kama ambavyo angeanguka chooni ama kujigonga ukutani
DEREVA KAPAKI GARI KASEPA ZAKE YEYE DOGO KAJIPIGA KWENYE GARI LIKIWA NDANI HAKUNA DEREVA HAPO INAKUAJE MAHAKAMA YA NINI?Police wanayo haki kisheria kupeleka hiyo kesi mahakamani. Wao wanachotakiwa kufanya ni kufanya upelelezi wa kilichotokea, ilikuwaje mtoto ambaye siyo 'udongo' ajigonge tu na kufa!?
Lazima wachunguze je huyu mtoto hakugongwa na mwenye gari? Wazazi hawajapewa rushwa kweli kupotezea haki ya uhai wa mtoto!? Na kikubwa zaidi polisi watachunguza kubaini uwepo wa jinai kwenye hicho kifo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa raia na mali zao, hivyo basi si kazi ya mzazi kujifanya eti yeye hataki kesi! HANA MAMLAKA HAYO, HIYO NI KESI YA JAMHURI NA DEREVA WA GARI HUSIKA.
Hivyo basi polisi wakipata ushshidi wanaotaka, wakibaini kuna kesi ya msingi, ngoma inapelekwa Mahakamani. Huko ndipo dereva utaelezea vizuri gari yako huwa unaipaki vipi kiasi kwamba binadamu akijigonga tu anakufa hapohapo.
Haya mambo yanahitaji upelelezi usikurupuke kutoa majibu mapesi kama hujui haudhuriki ukikaa kimya hiyo ni ajali kama ajali zingine hata kama kajigonga mwili wa marehemu lazima ufanyiwe uchunguzi hivyo lazima jalada la uchunguzi lifunguliwe pia yawezekana hata gari lilipaki eneo lisilo stahili acha kesi ifunguliwe ili kupata ukweli na huo ndo utaratibuHapo hamna kesi kwasababu gari lilikuwa limepaki,Hapo traffic wanatengeneza mazingira ya kupata hela tuu,ingekuwa Mm ndio mmiliki WA gari sitoi kitu