Msaada kuhusu kuacha kazi 24 hours notice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu kuacha kazi 24 hours notice

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kacharimbe, Mar 13, 2012.

 1. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu, nilipewa offer ya employment na kampuni moja miaka mitatu iliyopita. Offer hiyo ilieleza kuwa baada ya mwaka nitasaini mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuhuhishwa (renewable)
  Baada ya mwaka mmoja nilipewa barua ya kuthibitishwa kazini. Niliipokea ila sikuijibu. Tangu kipindi hicho nimesubiri mwajiri aandae mkataba tusaini lakini hadi leo hatujasaini
  Sasa nataka kuacha kazi kwa kutoa notisi ya saa 24. Je, nitalazimika kulipa mshahara wa mwezi mmoja? Kama itanilazimu je, naweza kuchukua likizo huku nikiwa nimetoa notisi ya kuacha kazi ya mwezi? Mwaka huu sijachukua likizo. Nawasilisha wakuu kwa msaada wenu
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Vijana wa kileo tabu kweli kweli, yaani mkataba usaini wewe na vipengele vyote unavifahamu wewe halafu kuuvunja mkataba unakuja kuuliza JF?
  U have to surrender ur one month salary, kama mfanyakazi ulivyo na haki zako ndivyo mwajili nae ana haki zake.
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ukiacha kazi ni lazma ulipe mshahara wa mwezi mmoja.

  likizo ya nin wakati umeacha kazi???

  pitia mkataba wako wa awali, unasemaje??
   
 4. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimekwambia sijasaini mkataba. Tatizo unakimbilia kusoma heading tu unaacha main body. Soma vizuri maelezo yangu
   
 5. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mkataba upi wakati nimesema hakuna mkataba wowote ambao tumesaini tangu nianze kazi pale
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Omba likizo, ukisharuhusiwa tu andika barua ya kutoa notice.
  Lakini sikushauri kuacha kazi kwa 24hrs notice. Hata huko uendako watakuwa wanakuangalia kwa jicho la pembe kama 'unreliable' person. Ni sawa na mdada anaeenda kumkataa mchumba wake kanisani kwa sababu ana bf mwingine,mwisho hata new bf anakuwa na wasiwasu tu!
  Its a sign of maturity and professionalism kutoa notice walau ya 2 weeks, kama sio mwezi. Toa offer ya ku-recruit your replacement and ensure smooth handover. Siku unajikuta unahitaji a tempting position unakuwa na credoo nzuri tu. Dunia duara babaa!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Shida yako imekwisha?
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama hajakuelewa hatokuelewa tena.
   
 9. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mfanyakazi anashauriwa kuomba Likizo ya mwaka ambayo ni siku 28 akiwa amefanya kazi kwa miezi walau 8 kwa mwaka husika, sasa kama ni mwaka huu(january-march) na HR wako kama yuko makini ukiomba utapata likizo ya siku 7 tu.

  Hivyo basi ukitoa notes ya masaa 24 hunabudi kulipa mshahala wa mwezi mmoja hiyo ni haki ya mwajiri hata kama huna mkataba mliosainiana, Sheria inatambua ukifanya kazi kwa mtu zaidi ya siku 6 hadi miezi 6 we ni mwajiriwa halali, na taratibu zote za kisheria sharti zizingatiwe na pande zote mbili: kama kipato chako kwa sasa si kizuri lkn kazi inavumilika toa Notes ya mwezi 1 ambayo haitakugalimu baada ya hapo unakuwa free: zaidi zaidi ni PM

  Ushauri huu ni kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini namba 6 ya 2004 na kanuni zake GN 42 na GN 64/2007
   
 10. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimekupata vizuri kabisa. Kazi inavumilika ila ninapotakiwa kwenda wananitaka immediately. Anyway nimepata base nzuri ya nini cha kufanya
   
 11. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mshahara wowote duniani unalipwa mwisho wa mwezi wa kazi, mwisho wa wiki ya kazi au mwisho wa kipindi chochote cha kazi mlichokubaliana, kama vile labda sisi wabeba zege, kazi ya siku ikiisha tu tunashikishwa chetu saa hiyo hiyo, hapo hapo, hutaki hatuondoki, ukikomaa tunamwaga sabuni kwenye zege, tunasepa, hatuna TUCTA wala mikataba sisi!

  Sasa kama uki quit kazi unarudisha hela kwa mwajiri, unarudisha hela ipi wakati hakuna mtu duniani analipwa mshahara in advance?

  In fact, uki quit kazi ghafla leo, bado kuna hela yako uliyofanyia kazi 'bure,' haijalipwa, toka kipindi cha mshahara wa mwisho hadi leo. Kwa hiyo wewe ndio unadai. Sijui nyinyi mnalipwa lipwaje huko, una quit halafu unaambiwa rudisha mshahara...! Hahahahahahaaa....
   
 12. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe ndo umenielewa vizuri hoja yangu. una haki zote za kuweka avatar ya maradona. say mimi tarehe ya mshahara ni 20 kila mwezi, then naacha kazi tarehe 19 kabla hata sijapata mshahara, bado napaswa kurejesha mshahara? upi? au nikipokea tu salary yangu naacha kazi, nirudishe mshahara wa nini ambao nimeufanyia kazi? naona bado pana utata hapo
   
 13. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ndo na mi hapo sielewi.... hahahahahaha.... mshahara tarehe 20, wewe una quit tarehe 19, which means wewe ndio unawadai wao mshahara wa mwezi kasoro kutwa moja, halafu ma lawyer wetu wa labor law wanatuambia wewe ndio urudishe hela, hela ipi?

  Maana kama mshahara ni wa mwezi jana, ni wa kazi uliyofanya mwezi juzi, ushalipwa, na ushaula! Sasa urudishe mshahara upi, mshahara upi? Hahahahahaa....
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Say whaaat? Hiyo sheria ya kijinga sana. Kwa nini usalimishe mshahara wa kazi ambayo ushaifanya? That don't make no sense.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa hao watunga sheria hawana akili kabisa. Wewe unaona ina make sense yoyote hiyo sheria?
   
 16. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ok. Minimum notisi ni siku ngapi? Nikitoa notisi ya siku 14 nitalazimika kurejesha mshahara?
   
 17. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kaka, naomba tuwekee hivyo vifungu vinavyosema uki quit kazi bila notice iliyotajwa basi utatakiwa urudishe mshahara wa mwezi mmoja.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Na ni kwa nini unadhani ukiachishwa kazi unapaswa kulipwa?
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Immediately effectively...
   
 20. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye red, what if kazi kaanza February mwaka jana, hadi leo hii march si mwaka tayari au ukishaanza kazi wanahesabu kuanzia January, no matter kazi mtu kaanza mwezi upi? Naomba ufafanuzi pliz!
   
Loading...