Jamani nimeweza kupata majina na title za waheshimiwa madaktari waliokwaa udaktari chuo kikuu cha Bongo. Kizuri sana ni Lugha ya kiswahili ambayo nimegundua kuwa ni ngumu kuliko kiswahili.
Pia...
Habarini wadau!!
Ni hivi nna jamaa yangu tumemaliza nae BA in business administration Ana g.p.a ya 2.6!! so vipi Ana uwezo kweli WA kupata kazi...maana anawaza kurudi kusoma undergraduate upya au...
Walimu wengi tuliohusika katika uendeshaji wa mitihani ya kidato cha nne 2015 halmashauri hatujalipwa stahiki zetu, kiasi kwamba hatujui Kwa nini iko hivyo.
Greetings to u all my fellow JF mates. Hope all is well.
To the point,
My Background:
EGM - A Levels
Accounting & Finance - BSc.
Investment & Finance - MSc.
As tujuavyo Elimu ni bahari, si...
Wale wapenzi wa vitabu vya watoto watakua wanajua huyu legend muamerika wa uandishi wa vitabu kwa njia ya picha. Natafuta vitabu hivi kwa ajili ya mtoto kujifunza kusoma kwa njia ya picha, please...
Nimepokea taarifa kwamba hakuna mwanafunzi yoyote yule wa mwaka wa Pili UDSM aliyechukua form ya uongozi.... dah!!! kweli nimeshangaa hadi wanaosoma law??? kweli??? ngoja niifuatilie ili nijue...
Habari. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nasoma education (biology na geography). Kwa semester hii ya mwisho nina muda wa ziada wa kutosha. Hivyo nachukua fulsa...
Wakuu profile yangu ya NACTE inaonesha nimekuwa selected katika intake inayoanza April but wananiambia niwasiliane na chuo kwa ajili ya join instructions but hawajaniambia chuo kipi. Nimechagua...
Habari zenu jamani.naomba kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu.Mimi nilikua nasoma bs.informatics sua.lakini nimediscontinue mwaka jana kabla ya kuingia mwaka 3(mwaka huu).kwa sasa natafakari kitu...
Mdogo wangu alihitimu 'bachelor of science with education' mwaka 2015, hivyo ni miongoni mwa wanaosubiri ajira za ualimu.
Ana mpango wa kuomba kusoma diploma fulani ambayo kwanza ina 'Government...
Wakuu... Tujikumbushe lini na wapi ulipokea tokeo lako na ilikuaje... Hehehe
Mimi nlipokea langu nkiwa nimelala jamaa akanivutia waya tokeo limetoka. kwenda kucheki kitu cha 3 ya naniiii basi...
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima ni miongoni mwa vyuo vikongwe hapa nchini ambavyo vilianzishwa kwa ajili ya kusaidia jamii kuondoka katika Lindi la ujinga na pia kuwaongezea uzoefu watumishi Wa...
Nina mtoto anasoma Ekenford chuo cha sayansi ya afya Tanga, anachukua diploma ya clinical medicine. Mwaka wake wa pili amekamatwa ana supplementary.
Mwanzo waliambiwa watahitajika kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.