Msaada NACTE

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu profile yangu ya NACTE inaonesha nimekuwa selected katika intake inayoanza April but wananiambia niwasiliane na chuo kwa ajili ya join instructions but hawajaniambia chuo kipi. Nimechagua Engineering course
 
Unaweza fatiilia ivyo vyuoo kuwauliza kama kimoja wapo kama kimekuchaguaaa??
 
Angalia joining instruction za vyuo vyote ulivyoomba then angalia jina lako kwenye hvyo vyuo utakapolikuta ndio huko unachukua JI yako
 
Kama umechaguliwa ni lazima wakuneshe programme na chuo hiyo itakuwa hujacheck vema.
 
Back
Top Bottom