Msaada: Jinsi ya kuwa Lecturer

Unatakiwa uwe na G.P.A ya 3.8. Katika Degree ya kwanza.
Inategemea na hiyo 3.8 maana kuna course unakuta aliyeongoza ana G.P.A first class kisha upate hiyo ujidanganye utabakishwa chuoni...Nina kaka yangu alisoma IFM accounting akapata 4.3 na hakufikiriwa hata kubakishwa pale akaendelea na mishe zake zingine...mie hata sikutaka kuumiza akili na kangu upper second ya mwanzo tu ilinitosha 3.5
 
Lecturer yoyote anatakiwa awe na GPA ya 3.8 kwa first degree, 4.0 kwa second degree plus PhD au 3 publications as first author,

Ila kwa the same qualification unaweza kuwa Tutorial assistant kama una degree moja pekee na Assistant Lecturer kama una degree 2 pekee
 
Back
Top Bottom