Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kweli ualimu wito sio ajira mana watu wanafanya wanavyotaka tuu, nakatishwa tamaa sana na hii kada ya ualimu kimsingi Walimu wa kigoma manispaa tulioajiriwa 2012 hatujapewa barua za kupanda...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wasalaamu wanajamvi Leo ni siku ya kusoma vitabu dunian ambayo hyazimishwa kila mwaka tarehe 23. 04. Hivyo nawahiza watanzania tusome vitabu Nchi nne zinazoongoza kusoma vitabu dunian ni 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waheshimiwa kama living sina nina cheti cha kuzaliwa tu na kitambulisho shule naweza kwenda JKT bila kuzingliwa?
0 Reactions
22 Replies
26K Views
Sisi tuliotoka Veta ambao tunataka kujoin Diploma ATC tunapita acces course ya NVA bringing course wenye level three/Grade one watafanya Bringing ya kujiunga NTA level 5 yani mwaka wa pili while...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaye mdogo wangu ambaye yuko Morogoro sec day kidato cha pili, mazingira yameshindwa kuwa rafiki kwake kiasi yanaathili matokeo yake, nafikiria kumuhamishia shule ya serikali ya wasichana ambayo...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ndugu wana JF habari za majukumu ya kulijenga Taifa letu! Katika utafiti wangu mdogo kwenye shule kadhaa za kata nimejionea mwenyewe na kugundua kuwa mbali na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi sio muangaliaji sana wa TV ila kama mara mbili hivi nmeona vituko viwili vilivyoniacha kinywa wazi kwenye kipindi cha skonga cha eatv. Katika hiki kipindi kunakuwa na maswali madogo madogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitaka kujua kwamba taarifa sahihi nnaweza kuipata katika mtandao upi maana mitandao mingine huwa na upotoshaji ama kuondoa baadhi ya ukweli flani .. nashukuru kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu!, me ni muathirika wa ddnt secure 4 loan allocation THIS ACADEMIC SEASON, najua wanajamvi humu ndani mpo mlioexist miaka mi3 chuoni bila loan huku mdhamini ni kima cha chini...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wenye kujua, form five selection zinatoka lini? Serikali, parents need to update their diaries
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari za saa hizi wandugu? Samahani jaman naombwa kujuzwa kuhusu Chuo cha, Tanzania regional immigration training academy!! Kwa mujibu wa NACTE chuo hiki kinatoa fani ya, Basic Technician...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaada juu ya matumizi ya ruzuku(captation grants) 50% kutumika katika ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia, maana mkuu wa shule yetu anadai 50% ya ruzuku bado serikali haijatuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba msaada juu ya matumizi ya pesa ya ruzuku mashuleni, tunabishana juu ya ununuzi wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari, je hizi 50% za vitabu zimetumwa au...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
"WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Et ikitokea mtu kapata div 1 ya point 5 HGK..nje ya koz ya elimu anaweza kusomea koz ipi nzur kwenye solo la ajira..AHSANTEN
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mtu aliesoma art je anaweza kusomea kazi gani gani.?
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Habarini Wapendwa,, naomba mwenye kujua vyuo vizuri wanavyofundisha "Certicate ya Journalism" Anijuze... Ahsanten
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua utaratibu wa kujiunga na Certificate courses at Arusha Institute of accountancy. Application through NACTE ipo lakini at the same time wameweka application forms. Now, which is...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Habari za kwenu? Nina shemeji yangu amemaliza form four mwaka jana,na kupata alama ya D moja tu ya Kiswahili,kwa maana hiyo amepata Div Zero,alisoma shule za kata. Sasa amesema anataka kurudi...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom