KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Nina mtoto anasoma Ekenford chuo cha sayansi ya afya Tanga, anachukua diploma ya clinical medicine. Mwaka wake wa pili amekamatwa ana supplementary.
Mwanzo waliambiwa watahitajika kulipa 150,000/- kwa ajili ya mitihani. Baadae chuo kikatangaza kila mwanafunzi mwenye supp atalipa 600,000/- , regardless idadi ya masomo unayo supp. Baada ya arguments na wanachuo ilibainika kwamba hela halali ni 150,000/-ambayo ilitakiwa kulipwa moja kwa moja wizara ya afya maana ndo watakao andaa mtihani.
Chuo kikatoa account ya wizara wakalipa. Sasa Leo tena wameibuka na tangazo na kulibandika kwenye notice board bila maelezo yoyote. Tangazo ni km nilivyoliattach kwenye post. Wamejaribu kuwasiliana na baadhi ya vyuo wao wamelipa 150,000/- tu. Na mitihani wanafanyia hapo hapo chuoni.
Km kuna watu wa wizara ya afya humu. Na vyuo vingie vya afya private. Kuna uhalali kweli wa kulipa hizo hela na mchanganuo huo? Au ndo wizi wa wazi wazi?
Msaada tafadhali