Natafuta vitabu vya Dr Seuss

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,083
8,374
Wale wapenzi wa vitabu vya watoto watakua wanajua huyu legend muamerika wa uandishi wa vitabu kwa njia ya picha. Natafuta vitabu hivi kwa ajili ya mtoto kujifunza kusoma kwa njia ya picha, please someone to give me directions!

Natafuta vitabu vya Dr Seuss wananzengo
TIA
 
Duh hili tangazo langu ndio hakuna anaejua ntapata wapi hivyo vitabu auuu mmeamua kuuchuna tu
 
Dah! Asadhari Leo Umepost! Hawawez Kuja Kwa Sababu Umepost Ukweli!! Mi Nimekuja Kukupa Ushirikiano Kwa Maana Huwa Unakesha Sana Kwenye Post Zangu!
 
Dah! Asadhari Leo Umepost! Hawawez Kuja Kwa Sababu Umepost Ukweli!! Mi Nimekuja Kukupa Ushirikiano Kwa Maana Huwa Unakesha Sana Kwenye Post Zangu!
Ha ha haaa mkuu bwana ww hua mtata sana, upunguze kutunga uongo..anyway thanks indeed nasaka hivi vitabu. Unamjua Dr Seuss?
 
Back
Top Bottom