Watu wengine Bwana, Mtu anapokuomba ushauri, toa ushauri wako wewe na sio kuanza kujadili madhaifu au mapungufu aliyonayo, kama huna ushauri si lazima uandike, acha WENYE HEKIMA watatoa ushauri
Unasoma Bachelor! Hujui Umuhimu Wa Cs?? Well Na Umuhimu WA google Je? Hv Kwel Na Ukubwa Wako Wote Unashindwa Kwenda Google Na Kuuliza Umuhimu Wa Cs Mpaka Uje Hapa Ujiaibishe?? Vp Wa Mzumbe Nin?
Dah, sasa mdugu ulikuwa unasoma nini? Ulichofundishwa ndio CS all about, au ulifunzwa nini?
CS: Ni science ya computer kuhusu ubunifu wa kuja na logics, maths na theories zitakazowezesha kuboresha zaidi matumizi ya jumla ya computer.
programming ina umuhimu sehemu nyingi tu.
ntakutajia sehemu moja.....kwa watu wa maswala ya electronics kuna ic components zinaitwa microcontrollers hizi zipo za aina nyingi sanaa na huwa zina kuwa programed ili zifanye special task kabla hazijachomelewa kwenye board yake.....
so mtu anaweza kujiajiri kama anauelwa wa electronics engineering na computer programming.
katika secta yako, itakwezesha kutegneza mfumo wa upangaji wa matokeo ya wanafunzi, student registration system bt waweza tengeneza pia online ticket system za mabas ukawauzia wamiliki. yapo meng bt jthd ufaham c++,php, java programming na zingine
katika secta yako, itakwezesha kutegneza mfumo wa upangaji wa matokeo ya wanafunzi, student registration system bt waweza tengeneza pia online ticket system za mabas ukawauzia wamiliki. yapo meng bt jthd ufaham c++,php, java programming na zingine
Yan migomo inayotekea st.joseph college of engg ni kutokana na watu wa education pale ndo kuna hiyo course,unadhihirisha matatizo yenu kwani mnasoma vtu ambavyo hamvijui wala hamna ndoto navyo......dah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.