gwabata Member Feb 21, 2016 32 22 Apr 13, 2016 #1 Kwa walioanza kupokea mkopo toka HESLB mwaka 2011. Anayejua mchanganuo please , nataka jua mchanganuo wa mkopo kwa mwaka walikuwa wanatoaje
Kwa walioanza kupokea mkopo toka HESLB mwaka 2011. Anayejua mchanganuo please , nataka jua mchanganuo wa mkopo kwa mwaka walikuwa wanatoaje
noel oga JF-Expert Member Oct 20, 2015 271 219 Apr 18, 2016 #3 nenda Loan board wakakupe customer statement ina mchanganuo wote