Habarini wadau!!
Ni hivi nna jamaa yangu tumemaliza nae BA in business administration Ana g.p.a ya 2.6!! so vipi Ana uwezo kweli WA kupata kazi...maana anawaza kurudi kusoma undergraduate upya au akomae Tu apige postgraduate coz roho inamuuma kwa kupata pass AFu akiniangalia mwenzie nimeunga masters!. Mawazo yenu wadau akikomaa kweli anaweza pata kazi kwa g.p.a hiyo au mwakani aanze upya tu undergraduate degree au postgraduate!