Nina swali la uchumi

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,548
63,035
Habari za hapa wakuu, nahitaji msaada katika hilo swali hapo chini, it's very urgent ! Asanteni.
1459536692907.jpg
 
Hapo kama upo shallow kwenye concept za utility & sastifaction ni shida. Costumer wako after hivyo vitu viwili over
 
kwa uelewa wangu kiasi hlo swali itakulazimu uchole production possibility frontier (ppf) uelezee oppotunity cost ni nini na imetokana na nn ie unlimited wants against limited resources(scarcity) then choice(elezea) ndo inatokea opportunity cost kutokana na kuforegone baadh ya needs.na jibu generally ni "YES" yupo sahihi.maelezo na curve ya kusupport muhimu
 
Asante mkuu! Barikiwa
 
So far katika swali kuna condition hii 'tennis or movie'. Kwa hiyo opportunity cost ni moja kati ya hivyo vitu viwili hapo juu. Ukiangalia mwisho wa swali anasema 'tennis and movie' ndo opportunity cost.
Therefore that analysis is not correct based on the principles surrounding the concept of 'scarcity, choice and opportunity cost'.
 
Kwahiyo neno 'tennis' na 'movie' kama yalivyotumika si kama tunavyoelewa kama mdundo na cinema au?
 
kwa uelewa wangu kiasi hlo swali itakulazimu uchole production possibility frontier (ppf) uelezee oppotunity cost ni nini na imetokana na nn ie unlimited wants against limited resources(scarcity) then choice(elezea) ndo inatokea opportunity cost kutokana na kuforegone baadh ya needs.na jibu generally ni "YES" yupo sahihi.maelezo na curve ya kusupport muhimu
Jibu lako ni sahihi ila ni irrelevant.

Umejibu swali la relationship between scarcity and choice.uchumi ndo maana tukitoka pepa tunasubiria A majibu yakija tumekula E
 
nimejibu kifupi tuu.yani nimegusa engo ambazo alitakiwa aziongelee,nyingine sio sehem kuu ya jibu bali ni introduction
 
Habari za hapa wakuu, nahitaji msaada katika hilo swali hapo chini, it's very urgent ! Asanteni.View attachment 334111

Note this: Mwanzo alianza Na neno tennis or movie, alafu akamalzia tennis and movie . Ukiangalia kule mwanzo opportunity cost ilitakiwe Na kauli Ile Ile ya "tennis or movie " after foregone attending to class. Kwa sababu alifanya moja Kati ya hvyo Na sio vyote.
 
Back
Top Bottom