Mwenye tetesi na hili jamani

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
435
60
JAMANI AJIRA ZA WALIMU WAPYA 2016, WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI 2015 VIPIIII???? Maana vijana kitaa njaa kali wanalia Lia wwatakuwa wezi....
 
JAMANI AJIRA ZA WALIMU WAPYA 2016, WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI 2015 VIPIIII???? Maana vijana kitaa njaa kali wanalia Lia wwatakuwa wezi....
Mwaka jana walimu wameajiriwa mwezi mei, so subirini tuingie mwezi mei. Hata hivyo wizara ilisema inasubiri bajeti mpya...vuta subira hadi julai
 
JAMANI AJIRA ZA WALIMU WAPYA 2016, WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI 2015 VIPIIII???? Maana vijana kitaa njaa kali wanalia Lia wwatakuwa wezi....
Lilishatolewa ufafanuzi na mheshimiwa raisi kupitia ukurasa wake wa facebook kuwa ajira mpya za walimu zitakuwa mwezi wa saba,baada ya kupitishwa,kwa bajeti ili kuepukana na tatizo la ucheleweshwaji mishahara kama wakiajiriwa kabla ya bajeti mpya
 
hivi walomaliza ni walimu tu? maana kwa malalamiko tumezidi japo simo heeeeeehh si mtulie msubiri? mlikuwa hamfanyi chochote mtaan ndo maana kisa wasomi
 
Back
Top Bottom