Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ndugu wana jamvi ,Naandika kwa masikitiko makubwa sana Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ambae mkopo wangu ulienda udsm wakati nimechaguliwa chuo kingine Cha ajabu mpaka ninavoandika uzi huu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je, naweza kuomba ODPE kwa ufaulu wa division 4 point 26 ya mwaka 2012 kwa maksi zifuatazo? Phys-D Chem-C Bios-C Georg-D Englsh-D Kisw-D Civics-D Bmath-F Histry-F nahitaji mawazo yenu na ushauri...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wazima humu?naombeni mnisaidie nataka kwenda kuhamia tabora mjini ila nataka nijuwe kama kuna shule nzuri kwa mtoto aliyekuwa darasa la kwanza.na nina hitaji ya kiingereza maana hata kiswahili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya CAG kugudua haya maajabu natamani nisomee hii professional, hii elimu ni zaidi hata ya usalama wa taifa. CAG AIBUA JIPU LA KIHISTORIA. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada kwa wanaojua Mathematics N:B mi nimeumiza kichwa nimeshindwa
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu mko poa? Ninaombeni kujuzwa kuhusu 'Mhimili wa dunia', unapatikana wapi katika dunia yaani bara lipi, nchi ipi na sehemu gani? Maana kama kweli upo kama tunavyousoma ni lazima ungeonekana...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Ndugu wana jamvi ,Naandika kwa masikitiko makubwa sana Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ambae mkopo wangu ulienda udsm wakati nimechaguliwa chuo kingine Cha ajabu mpaka ninavoandika uzi huu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rejea mada tajwa, natafuta shule ya private ya kiislam kwa mvulana, please ukinifahamisha naomba unitajie na ada yake.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAPENDA KUWATAARIFU VIJANA WATAKAOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2015, KUWA WATAJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUANZIA JUNI 2015. ORODHA YAO...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Samahani naomba kuuliza kwa mujibu wa NACTE kuna vyuo ambavyo vitachukua wanafunzi kuanzia April 2016 na vinatakiwa kuanza tar 18 mwez huu lakini mpaka sasa post bado nani anajua kwa undani swala...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wasalaam Wakuu, Moja kwa moja tujitwike madani. Kufuatia kufungwa kwa chuo cha Saint Joseph matawi ya Songea na Arusha,iliilazimu bodi ya vyuo vikuu kufanya utaratibu mpya wa kuwatafutia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi Sisi Tulio Ajiriwa 2012 mkoa wa kigoma kuna mtu ameona badiliko kwenye mshahara wa mwezi huu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina tatizo kwenye simu yangu kila nikifuta message nikizima simu nikiwasha tu ile message inajirudia tena mpaka inakuwa kero. Mwenye uelewa jinsi ya kuifuta completely isiwe inajirudirudia tena...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mi pia nmesoma accounting na commerce,economics,ebwana account two ilinchapa sana topic ya company accounting kwenye kipengele cha REDEMPTION OF DEBENTURE IN OPEN MARKET,PIA HIRE PURCHASE NDEFU...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari za mchana ndugu?nimechaguliwa kusoma diploma in clinical medicine nilikuwa naomba kujua iko chuo cha bumbuli cotc kipo wapi?
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Information About Bagamoyo school of Nursing. Kufungua Chuo Tareh 9/11/2015
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Walimu wote dsm leo full kuhakikiwa mnazi mmoja s/m hakuna mchezo watumishi hewa waishe kabisa. Fika uhakikiwe kama ni mwl wa s/m
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hongera kwa wote waliochaguliwa Mzumbe University kwa kozi mbali mbali za undergraduates 2015/2016. Nashauri tukutane hapa kwa masuala mbali mbali yahusuyo MU, wale wanaosoma pale na waliosoma...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
MATUMIZI YA RUZUKU YA UENDESHAJI(CAPITATION GRANTS) Serikali itaendelea kutuma 50% ya ruzuku mashuleni kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia. Utaratibu huu wa kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habar zenu wanaJF, samahani sana ndugu zangu,naomba kujuzwa kuhusu hizi PC ni aina gan nzuri. Nataka kununua ila sitaki kubambikwa kitu kibaya. Samahani kwa usumbufu
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Back
Top Bottom