Kuhusu fomu za uongozi University of Dar es salaam

Mmanga2

Senior Member
Oct 30, 2014
110
28
Nimepokea taarifa kwamba hakuna mwanafunzi yoyote yule wa mwaka wa Pili UDSM aliyechukua form ya uongozi.... dah!!! kweli nimeshangaa hadi wanaosoma law??? kweli??? ngoja niifuatilie ili nijue kama zinaukweli.
 
Nimepokea taarifa kwamba hakuna mwanafunzi yoyote yule wa mwaka wa Pili UD aliyechukua form ya uwongozi.... dah!!! kweli nimeshanghaa hadi wanaosoma law??? kweli??? ngoja niifatilie ili nijuwe kama zinaukweli
Unapenda madaraka wewe
 
Back
Top Bottom